Elimu ya juu nao mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya juu nao mafisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Plato, Sep 4, 2010.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Wanafunzi wetu wa vyuo vikuu ni mafisadi na mazezeta.hawapiganii zaidi ya hela za mikopo.ona sasa hivi karibia wote hawatapiga kura na hatujaona kama hilo linawagusa.wameenda shule ila ujinga bado umewajaa
   
 2. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,491
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  hilo ni kweli wanaongoza UDOM wanafuata SAUTI,TUMAINI,DUCE na wenginne including ivukoni mzumbe na udsm
   
Loading...