Elimu ya juu full vitisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya juu full vitisho

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BG baba, Apr 4, 2012.

 1. B

  BG baba Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanafunz wa vyuo vikuu tz wamefungiwa kufanya mikutano yao hasa wanapo dai hak zao zinazoonekana kutotekelezwa na serika, likiwemo la kucheleweshewa mikopo yao. Je hii ni halali? Na maisha bora kwa mtz ndo haya?
   
 2. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Fafanua umepata wapi?
   
 3. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuu mbona habari yako haijitoshelezi kimaelezo?Hebu funguka basi tukusome vizuri!
   
Loading...