1. Ndio mtu binafsi anaweza kumiliki
2. Ndio kwenye satelite
3. Ndio kuna service provider just google tanzania satelite internet au east africa satelite internet watakuja kibao
4. Gharama ni around milioni au karibu na hapo na speed ni mbovu kushinda 3g, kwa mtu binafsi mi naona hailipi.
Jana nimetumia internet ya simbanet ya fiber, maisha yangu yote sijawahi tumia internet yenye low latency kama ya hawa simba, ilikuwa na latency ya 2ms tu. Na speed walikuwa wameicap 5mbps.
Kama upo serious waone hawa simbanet wanazo pia satelite internet kama still unataka