Naomba nifahamishwe ni nini tofauti ya Undergraduate,Graduate and Postgraduate,nimewahi msikia Kikwete akisema Taasisi ya Nelson Mandela Arusha ni Graduate School akimaanisha kinachotolewa hapo ni Stashahada za uzamili,shahada za uzamili na shahada za uzamivu.