Ndugu habari!
Ninaomba mwenye kujua kuhusu kusoma/kusomea/kutafuta cheti cha CPA kwa mtu ambaye undergraduate hakusoma masomo ya biashara inakuwaje? Yaani process/ngazi zilizopo na gharama yake!
Na je nikihitimu ninakuwa considered sawa na mtu aliyesoma biashara undegraduate?
Asanteni!