Maotora
Member
- Feb 27, 2018
- 14
- 9
Habari wanaJF,
Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyeona uhitaji wa mafunzo na elimu ya kawaida ya computer katika jamii yetu na technologia zake au TEHAMA.
Nimeanza kutoa mafundisho ya kawaida YouTube bure na kwa lugha ya kiswahili, ili kueneza elimu hii vizuri kwa watu wote.
Nimeanza kufundisha YouTube mwaka 2015 ambapo nilikua nikitoa videos za kihandisi zaidi (Computer programming) ila kwa mwaka huu nimehamia kwa watu wa kawaida ili kusaidia wengi.
Nimejidhatiti na kufanya YouTube iwe kati ya vitu ninavyovifanya professionally na sio hobby tena.
Link ya video ya mwisho niliotoa:
Karibuni sana.