Elimu ya Bure ya Lowassa ni Kiini Macho


Ukawa inategemea wahisani ili kuendesha nchi ipi?ccm ndo matonya.
 
Wala msijihangaishe kubishana na ukiwa, hatuwapi nchi.

Muuaji wa Home shopping center siku hizi ndiye anayeamua nchi ampe nani? Na bado kuna yule raia asiye na hatia aliyepigwa risasi pale Kariakoo, hatujasahau hata kama utawala wa sasa unawawekea ngao!
 
Umezaliwa kijijini ukaletwa Dar, mambo ya duania utayajulia wapi? Tupo wengi tuliosoma nje ya Tanzania vyuo vikuu bure!
 
... Inapangwaje??

Your brain is too crapy to understand! Sorry! Kama umeweza kuamini kuwa ni mpaka uwe na fedha cash ndio unapanga mipango na bajeti ya nchi sitaweza kukuelewesha. Rudi kwanza secondary school ukamalizane na mafundisho ya huko
 
Hata kama ni kuichoka ccm ndio kunatufanya hata tushindwe kufikiri au ndo kila tunaloambiwa ndio mzee kana kwamba sisi hatuna ubongo wa kufikiri.
 
unazungumzia 6% ya bajeti ya bajeti ya ccm. Unapaswa kufahamu kuwa katika vyuo vya serekali hapatakuwa na fedha ya pango wala kulipa walimu. Katika vyuo binafsi wakufunzi watakuwa wa serekali watalipwa na serekali hivyo serekali itawapatia wanafunzi chakula kwa kupika hapo chuoni. Vyuo vitakavlipwa feza ya kula ni vile vikubwa s ekenford
 
Hata kama ni kuichoka ccm ndio kunatufanya hata tushindwe kufikiri au ndo kila tunaloambiwa ndio mzee kana kwamba sisi hatuna ubongo wa kufikiri.

tatizo lako umetekwa na mipango na sera za ccm zisizotekelezeka..
 
uk na usa , hakuna shule ya bure. Nchi za Scandinavia gharama za chuo zinachangiwa na serikali na penyewe bado kuna baadhi ya gharama inabidi mwanafunzi agharimie. Kwa hiyo ukweli upo palepale Lowasa fisadi anatuona watoto wadogo na kwamba anaweza kuongea tu maneno ya uwongo na kuwa raisi

Umezaliwa kijijini ukaletwa Dar, mambo ya duania utayajulia wapi? Tupo wengi tuliosoma nje ya Tanzania vyuo vikuu bure!
 
Inawezekana sana,mfano 1.Kupunguza matumizi ya Serikali 2.Kuziba mianya ya ukwepaji wa kodi kwa wafanyabiashara wa ndani na wale wakigeni NB:Mshahara wa mwezi mmoja wa Mbunge unasomesha mwanafunzi mmoja miaka yote chuoni.
 
Inawezekana sana! Yasiponunuliwa mashangingi, wizi kwenye mikataba, uwiano ktk mishahara na posho ktk wizara zote, kuziba mianya ya rushwa na kuwa wazalendo!
Pesa ya kutosha ipo sana!
 
kwa hiyo umekubali kuwa Lowasa anadanganya ktk hili??


 
Nipashe wakimpata Jibu kwamba msamaha tu wa kodi 2014 unatosha kulipia wanafunzi hadi chuo kikuu na chenji kubaki.Huyu wa wapi huyu?Ushabiki usikuindoe ufahamu.
 

Unaongea kitu usichojua. Mimi nakuambia kitu ambacho nimefanya. Au labda mtu anaposema ''elimu bure'' wewe unaelewaje? Kwasababu tunaweza kuwa tunabishana na mtu anayefikiri elimu bure ina maana ya kila kitu bure
 
martyr2012

Nnawashukuru wadau mmempa za uso sana huyu jamaa ,pole ndugu Yangu kwa namna ccm walivyokukata moto kila zuri unaliona baya.Pole mkuu nnaona ahadi za ccm zimekuathiri kiasi.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kisichowezekana chini ya jua. re-think and act accordingly.
 


Kwni hivi sasa hao walimu hawalipwi Mishahara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…