ELIMU YA AMALI NA TECHNICAL SCHOOL UPI UTOFAUTI

ELIMU YA AMALI NA TECHNICAL SCHOOL UPI UTOFAUTI

bob_fundi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2025
Posts
447
Reaction score
690
Habari wana JF
Huu mkondo wa amali unatofauti gani na zile shule za ufundi?

mm nimeona shule za ufundi mapegunzuziwa masomo kama history na geography hivi wajikite zaidi kweny vitendo.

Sasa huu mkondo wa amali kama utakuwa unatofauti na ule wa shule za ufundi. ipo wap Tena sifa za kujiunga na shule za ufundi kama moshi,Tanga,ifunda,iyunga,musoma,mtwara na bwiru technical.

kwa mm ninavyo elewa huwa niwanafunzi wanao fanya vizuri ki wilaya wanao kuwa nafasi kati 4 mpk 6 hao ndio wanaenda hizo shule hapo.

Naomba anaye elewa zaidi ya hapo anipe mchango wake.
 
Back
Top Bottom