Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Hello JF,
Muundo wa A-level nilikuwa naona uweze kufanya link from lower secondary to university. Namaanisha masomo ya A-level yawe kama msingi wa masomo ya university.
I understand kuna masomo kama udaktari ni impossible kuyasomea A-Level. Ila masomo mengine mengi tu ya chuo kikuu yanaweza kufundishwa kwenye secondary.
Masomo kama Accounting, Business, Psychology, Environmental Science yanaweza kufundishwa ngazi ya A-level. Hii itatoa watu/wasomi competent na wenye kujiamini.
Sio sasa hivi watu/wazazi wanaona kumpeleka mtoto A-level ni kupoteza muda. Kuna mahali kama taifa tunafeli.