Elimu sio lelemama

Wanafunzi hawa wana matatizo ya kulala darasani hivyo mwalimu kaamua kutumia njia mpya kuwanusuru na kufeli.
 
Daaaah anyway ndio maisha yenyewe. Hapo utakuta Mbunge wao yuko busy kwenye nyumba ya kulala wageni
 
mbona kama wamevaa jezi...........??
 
THIS CANT BE TRUE.....Mtu aki'pee' kwenye maji je? Wadudu? Nyoka? Aaahhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…