Elimu ni Ufunguo Wa Maisha..............

Umenikumbusaha mbaali sana, kuna jirani mmoja alikuwa anachelewa kurudi nyumbani kuwakwepa watoto wake aliowapeleka english medium...
 
...kaingia choo chetu cha kike.......Mzizi salama? jamiiimenizingua sana.....Elimu ni ufunguo tu na wala SI MLANGO WA MAIISHA
 
Kuwaweza watoto wa siku hizi na inglishi yao piga kilugha.. kama ile ya " Mbonyi shafoo clemeeee?"
 
Mbona wengine tuna hizo mifunguo muda mrefu na hazifungui?
 
Kuwaweza watoto wa siku hizi na inglishi yao piga kilugha.. kama ile ya " Mbonyi shafoo clemeeee?"


Nimeipenda hii
Mbonyi shafoo Clemeeee
hapo mtoto haambui kitu
Sasa MziziMkavu mbona hizi funguo zinakataa kufungua makufuli ya maisha bora
 
Nimeipenda hii
Mbonyi shafoo Clemeeee
hapo mtoto haambui kitu
Sasa MziziMkavu mbona hizi funguo zinakataa kufungua makufuli ya maisha bora

Habari mkuu!
Teh teh teh, pengine makufuli ya Kichina kwa funguo za Uingereza!...
 
Habari mkuu!
Teh teh teh, pengine makufuli ya Kichina kwa funguo za Uingereza!...

Salama kabisa mkuu
Umepotea sana aise
Kweli kabisa aise ni makufuli ya kichina na funguo za kiingereza maana kila ukijaribu kufungua yanakataa
 
ha ha ha...wajanja walibadilisha vitasa makofuli kitambo sana wakati nyie mnakabidhiwa hizo funguo. Funguo hazihitajiki tena ni kuvunja tuu kofuli na vitasa ili uyapate hayo maisha bora. nyundo na kipande cha nondo ila pia 😛ray:
Mbona wengine tuna hizo mifunguo muda mrefu na hazifungui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…