marashi ya pwani
Senior Member
- Sep 30, 2024
- 125
- 141
Chadema wanataka mtu asiyekuwa na elimu ya form six kuendelea asichukue form ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa serikali za mitaa
Lakini imekuwa tofauti kwa watesi wao kusoma na kuandika inatosha kuchukua form
Sasa wenzangu na sie chadema kindaki ndaki elimu changamoto ila tunakubarika mtaani ndio tuache ipite mpaka au Kuna mabadiriko?
AHSANTE