Elimu na Tahadhari juu ya ajira za UNCRD

Shingamagadi

Member
Jul 12, 2018
37
29
Habari za majukumu ya hapa na pale wanajukwaa.
Kuna tangazo la kazi la UNCRD lilikua likizunguka katika mitandao ya kijamii hususani whats up ambalo lilikua likitangaza ajira kupitia kada tofauti tofauti za taaluma.
Nilikua naomba msaada mwenye uelewa wa hayo mambo maana mimi ni mmoja wao niliotuma maombi na mpaka kufikia hatua ya kupewa offer ya ajira.sasa hofu yangu ni kwamba inawezekanaje kupewa offer huku hata interview sijafanya na wao wanagharamia kila kitu hadi ticket za kwenda huko marekani.
naomba elimu juu ya hili ili na wengine waliokatika mtego huo tujue ni nini kilicho nyuma ya pazia.
 
Hapo kuwa makini.United Nations Centre for Regional Development (UNCRD) sidhani kama inaweza toa kazi kienyeji hivyo bila kufuata taratibu zinazoelewaka za kupata ajira kama interview etc.

Kuna human trafficking pia.
 
Aulizie ubalozi wa Marekani
 
Back
Top Bottom