mkuu ii fani ni bado mpya kwenye jamii hususani ya Kitanzania,la msingi komaa na utaalamu wako utendee haki ukirudi mtaani NGOs nyingi tu zinataka wataalamu kufanya nao kazi,ingia mtandaoni zinatakiwa tafiti nyingi kimataifa kuhusiana na io fani,kifupi fursa zipo mkuu we komaa nayo tu