sijakuliza mshahara pimbi wewe
Salary million 2 na ushered hivii """"""""""""""
Waliosoma spécial na ambao hawajasoma spécial wote sawa mwenzangu lambda davantage iliyopo waweza pangwa town lkn mbali na hapo mshahara ni ule ule
ni kweli kabisa kwa uyasemayo.maana mm nimesomea hearing na visual impairment but maslah ni kama ya walim wa kaeaida.na isitoshe kwa sasa nafundsha shule za kawaida hata kwa walemavu niliosomea hawajanipeleka.nipo tu na utaalam wangu wa nukta nundu na sign language nisioufanyia kazi.
TGTSD1 ndo nini mkuu
ni Tanzania Government Teachers Scale D1 ambayo kwa anayeanza Kazi mwaka huu atalipwa 630000 basic salary (kabla ya makato mbalimbali), so hao wanaokudanganya ni 2ml si kweli hata kidg. unafuu wako ni kupangwa mjini cz shule hizo zipo town.
mpango wa post hawazingatii special needs.kuna shem wangu alikuwa na special needs mwaka juzi wakampanga Moshi tech. lakini pale tena wakampiga double cross wakampeleka shule moja ya kata pale manispaa.alisoma UDOM.