Elimu kwa watoto walio na Ulemavu

Elimu kwa watoto walio na Ulemavu

Joined
Sep 12, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Elimu ni jambo la msingi kwa mtu yeyote yule, pasipo kujali hali ya maumbile au ulemavu wowote ule. Japo kuwa kuna watoto wengi ambao wametaabika wasipate mtu au mwalimu aliye na uzoefu wa kufundisha na kuwaleta wanafunzi hawa kwa kiwango cha kujitegemea, shule nyingi na pia watu na hat walimu wengi hawajapata kuwa na tajiriba ya kuvumilia na kuwaelekeza watoto hawa. Kwa mfano, watoto walio na hali ya usonji, yaani, autism, hupata shida sana kuhudumiwa katika shule nying hasa za Africa Mashariki na kati. Hali ya Autism humfanya mtoto kutotulia, kutaka kukaa pweke, na mara nying huwa na tabia ya kitamaduni yaan, Rituaristic behavior. Hali humfanya mtoto kutosoma na kuelewa mambo ya kawaida yaliyo ya msingi.Waalimu hushindwa kuimudu hali na kwa hivyo humwacha mtoto huyu na kumshughulikia zaidi wale walio na uwezo mkubwa wa kusoma. Hali nyingi nyingine kama vile Celenral Palsy, lutoandika, kutosoma, kutoelewa anachosoma mwanafunzi au anachoelezwa na mwalimu huwakanganya waalimu wasijue la kufanya. Mimi nimefundisha kwa ufanisi mkubwa watoto hawa na nwaweza kuwa wa msaada kwa mzazi yeyote aliye na mtoto anaye kumbana na hali kama hizi. Nimefundisha watoto walio na autism, celebral palsy, upungufu wa akili hadi wakawa wa kujitegemea kwa kiasi cha kutamanika. Naweza fifkiwa kwa ushauri au maelezo zaidi +254731791341 au +254725986284 au josphatgogani@yahoo.com au josphatgogani@thegrangevilleschool.ac.ke. Nafundisha The Grangeville School, Nairobi, Shule maalum iliyo sifika kwa utunzi bora wa watoto wenye ulemavu unaoadthiri kwa pakubwa uwezo wa kusoma na kupokea elimu ya kimsingi, yaani Basic life skills for independence.
 
Je baada ya shule watoto hawa wenye ulemavu huenda wapi?
Swali hili huulizwa na watu wengi sana. Kwamba katika shule twawaona watoto wengi wenye ulemavu tofauti tofauti ila tunao waona ni wale wenye ulemavu wa viungo yaani Phycal handicapped. Lakini , hao wengine tunao wajua kama wenye akili tahira, usonji, tabia zisizo ambatana na matakwa ya jami, yaani, behaviorally maladjusted na wengine huenda wapi? Mimi kama mwalimu katika shule ya Grangeville , Kenya, na walimu wengine tumeweza kuonyesha mfano bora kwa waajiri kwamba watoto tunao waona kama wasio na uwezo kwa kweli wanoa vipawa na uwezo mkubwa uliofichika ila wahitaji uadilifu na umakini katika kutambua kipawa walich nacho..Kisha kipawa kikikwisha tambulika , inakua jukumu la mzazi pamoja na ushirikiano wa karibu na mwalimu kukikuza kipawa hiki hadi kifaulu. Kwa mfano, watoto wenye Usonji huwa na mapendeleo makubwa katika kutumia kumputa na kwamba wana ujuzi fiche katika mambo ya tarakilishi kuliko wenzao wazima.Kwa hivo , wanaweza kufanya Data entry katika duka, kampuni au kazi nyingine inayohitaji matumizi ya komputa. Patana nami kwa uchunguzi wa mtoto ili kutambua kipaji alicho nacho.The Grangeville, Pahali pa maarifa kwa watoto wenye ulemavu.
 
Back
Top Bottom