Elimu kwa Umma - Mkoa wa Morogoro

Elimu kwa Umma - Mkoa wa Morogoro

Joined
Mar 27, 2025
Posts
33
Reaction score
45
Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa.

Kampeni hii iliyoanza juzi, imeendelea tarehe 06 Mei, 2025 katika Mkoa wa Morogoro na imeweza kufikia wananchi wengi zaidi kwa kutoa elimu katika Kituo cha bajaji na bodaboda cha Juwata, Soko la Mawenzi na Stendi Kuu ya mabasi ya Mkoa (Msamvu).

Aidha, katika zoezi hili jamii imepata wasaa wa kuuliza maswali na kupata majibu ya papo hapo ili waweze pia
IMG_2687.jpeg
IMG_2675.jpeg
kuwa mabalozi wazuri wa kuhamasisha matumizi sahihi ya dawa.

“Nimeelimika na nitazingatia Matumizi Sahihi ya Dawa

IMG_2664.jpeg
IMG_2680.jpeg
IMG_2694.jpeg
 

Attachments

  • IMG_2696.jpeg
    IMG_2696.jpeg
    1.2 MB · Views: 18
  • IMG_2684.jpeg
    IMG_2684.jpeg
    649.9 KB · Views: 22
  • IMG_2693.jpeg
    IMG_2693.jpeg
    1.2 MB · Views: 19
  • IMG_2702.jpeg
    IMG_2702.jpeg
    1.2 MB · Views: 15
Back
Top Bottom