MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Ndugu wanajukwaa amani iwe kwenu!
Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada husika.
Nia yangu ni kutaka kusaidiwa juu ya hili katika uhalisia wa kawaida nikiwa bado nina maumivu makali ndani ya nafsi yangu baada ya kutupiliwa mbali kwa maoni ya watanzania na kuwekewa maoni yasiyojulikana ni nani alipendekeza na jaw manufaa ya nani.
Hivi ni kweli mpaka sasa itaingia akilini kumwambia mtu kua eti kuna nazingira hapa Tanzanua hata mgombea alieishia kidato cha nne kukosekana?
Naomba ajitokeze hadharani mtanzania yeyote ambaye jimboni kwake hakuna hata shule ya Kata. Dhana ya shule za sekondari za kata ni nini hasa?
Hata tunapata picha kua walioko madarakani wanang'ang'ania nafasi zao kwa elimu zao ndogo hawataki kutoka. Hata bungeni kuna wabunge wangapi elimu zao ni std7?
Karne hii ya sayansi na teknolojia inayohitaji watu makini wenye plani vichwani mwao leo tunakalia unafki eti elimu isiwe kigezo katika kugombea nafasi za uongozi?
Mbona ni sheria sasa hata mtendaji wa kijiji lazima awe form 4?