Elimu kulingana na malengo ya kitaifa


Shayu

Shayu

Platinum Member
Joined
May 24, 2011
Messages
544
Likes
874
Points
180
Shayu

Shayu

Platinum Member
Joined May 24, 2011
544 874 180
Kama elimu yetu haitajengwa kulingana na malengo ya kitaifa, watu wetu watakua pasipo malengo ya kitaifa na pasipo utaifa.

Naweza kusema itajenga watu wabinafsi wasio na malengo ya kitaifa. Kwa mantiki hiyo haitaweza kuleta matokeo tunayohitaji kama taifa..

Na wala watu wake hawatokuwa na mwelekeo wa pamoja wa kitaifa. Itajenga watu wasio na dira kwa taifa lao.
 

Forum statistics

Threads 1,250,884
Members 481,523
Posts 29,749,538