Elimu kuhusu uume wa mwanaume

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
1,456
Reaction score
1,436
Guys hii kitu nimeitoa Instagram kwa kaka yangu @pharm_Solomon so ni vyema tukajifunza pia..
Jamii yetu imejaa vimbwanga sana kipindi hichi na wengine wanatamani kuwa na maumbile makubwa kisa kutaka kumridhisha mwanamke jamani tujiamini wanaume...halafu uanze kujipima ujue uume wako ni size gani ili ujitambue.,.

Maelezo utayapata kwenye picha hapa....
 
Naongezea haya
1.Wanaume wenye matege ya nje( kama o) wana mashine ndefu na nyembamba
2.Wanaume wenye vitambi hawa wengi wana vibamia
3. Wanaume wenye vidole vinene hasa dole gumba machine zao ni nene halafu fupi
4. wanaume warefu kila kitu chao ni kirefu
Niishie hapo kesho ntaongezea kwa wenzetu waleeeeee
 
Ngoja wenye viba100 waje
 
Ukimjua mwanamke vizuri huwezi kuhangaika na ukubwa/udogo wa uume. Hisia za mwanamke ziko kwenye mashavu ya 'k'. Kichwa 'glans' cha uume kinatosha kumpagawisha mwanamke. Tafuta 'G spot ', kuna kitaalam, ......
 
Asante mkuu
Ukimjua mwanamke vizuri huwezi kuhangaika na ukubwa/udogo wa uume. Hisia za mwanamke ziko kwenye mashavu ya 'k'. Kichwa 'glans' cha uume kinatosha kumpagawisha mwanamke. Tafuta 'G spot ', kuna kitaalam, ......
 
Binafsi uume wangu unaenda inch 5.5 hadi 6 sasa kama unasema ninakibamia njoo nikuoneshe show then ukasimulie....uume ukiwa mrefu sana hata kwa mwanamke inakuwa karaha na sio raha tena maana unaweza kuguswa seehhemu ya uzazi ikaleta shida nyingine tena.
 
No nne sio kweli
 
Shida watu wanafikra tofauti....ambazo zimetawaliwa na mambo ya mtandaoni hasa kutaka kujaribu kuona itakuaje wakati uwezo wake mdogo

Wanaohangaika na maumbile yao ni watazama porn na ni wana wanaolelewa maana me aliekamilika na anajielewa hawezi akakaa chini kujudge maumbile yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…