Elimu kuhusu majini kabla ya binadamu


Najua ww hutaweza kujibu.
Ila soma haya ya dini yako uilewe Quran Covax
 
Tutakataaje kusema kuwa Shetan kamsaidia Mohamed kuandika Quran.
Utatumia hoja gani hapo?
Halafu ulisema aya ya 2:62 haijataja neno Allah ila Mwenyezi Mungu nimekuwekea aya naona umekimbia 🤣
 
Bado sijaona hoja hapo
 
Nikisoma hizi mada nazidi kuwaogopa hawa masheikh......Hao sio watu wa kuishi nao pamoja aiseee
 
Kabla sijaenda mbele nataka tukubaliane hapa majini wametokea wapi ili tusifanganye mambo ( asili ya majini ni Nini) Kwa mujibu ya hizo vitabu vya mwanzo zabur, tourat na agano la kale (injili)
 
Kabla sijaenda mbele nataka tukubaliane hapa majini wametokea wapi ili tusifanganye mambo ( asili ya majini ni Nini) Kwa mujibu ya hizo vitabu vya mwanzo zabur, tourat na agano la kale (injili)
Kwanza kabisa, Biblia haijawahi kutaja kwamba kuna viumbe vinaitwa majini walioumbwa na Mungu. Hilo ni fundisho lililoletwa na Uislamu baadaye. Biblia inatufundisha hivi👇👇

Katika Mwanzo 1–2, Mungu aliumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo ndani yake. Hakuna mahali popote panaposemwa aliumba majini. Kuna malaika, kuna wanadamu, na kuna wanyama.

Biblia inafundisha kuwa mapepo ni malaika waliomuasi Mungu.

Ufunuo 12:7-9 → “Kulikuwa na vita mbinguni… Lusifa (shetani) akatupwa chini pamoja na malaika zake.”

Hawa malaika waasi ndio Biblia inawaita mapepo au roho wachafu (Mathayo 8:16, Marko 5:12-13).
Kwa hiyo, kile ambacho Uislamu unaeleza kama majini, Biblia inakifafanua kuwa ni malaika waliomuasi yaani mapepo.

Zaburi mara kadhaa inaonyesha kuwa kuna “miungu ya uongo” ambayo watu waliabudu, lakini kimsingi hiyo ni kazi ya mapepo.

Zaburi 106:37: “Wakawatoa wana wao na binti zao wakawatoa kafara kwa mashetani.”

Hapa Biblia inataja moja kwa moja “mashetani” (mapepo), kimsingi Hawa ndio majini ,kama umewahi kukutana na mtu mwenye majini ndio wale wale wakristo wanasema ana mapepo,


Yesu mara nyingi alikutana na mapepo:

Marko 1:34: “Akawaponya wengi waliokuwa na magonjwa mbalimbali, akatoa pepo wengi.”

Luka 8:30: Yesu anamhoji mtu aliyekuwa na pepo wengi, akajibu: “Jina langu ni Jeshi, kwa kuwa pepo wengi wameingia ndani yangu.”


Hii inaonyesha wazi kwamba Biblia haitambui neno “majini” maana hili neno asili yake ni arabuni,, bali inafundisha juu ya mapepo (roho wachafu) na malaika wa Mungu.
 
Agano la kale au tanakh kwa wayahudi haitambui kama kuna malaika alieasi, malaika ni watiifu wote hiyo ya kuasi umeitoa wapi
 
Agano la kale au tanakh kwa wayahudi haitambui kama kuna malaika alieasi, malaika ni watiifu wote hiyo ya kuasi umeitoa wapi
Isaya 14:12–15

“Jinsi ulivyoshuka kutoka mbinguni, Ee nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! Umeanguka chini mpaka nchi, wewe uliyekuwa ukiukosesha mataifa! Wewe ulisema moyoni mwako, 'Nitapanda mbinguni; Nitainua kiti changu cha enzi juu ya nyota za Mungu; Nitajikalia juu ya mlima wa mkutano, katika sehemu za mbali za kaskazini; Nitapanda juu ya mawingu; Nitafanana na Aliye Juu Zaidi.' Lakini umeangushwa mpaka shimoni, mpaka sehemu za chini za shimo.” (Isaya 14:12–15, Biblia ya Kiswahili)
 
Hii Aya haimaanishi malaika alieasi inazungumzia mfalme wa babeli Kwa MUJIBU wa tanakh kwahyo hapa umejipiga chenga ya mwili tu
 
Hii Aya haimaanishi malaika alieasi inazungumzia mfalme wa babeli Kwa MUJIBU wa tanakh kwahyo hapa umejipiga chenga ya mwili tu
Hiyo ni code ya Lucifer

Mfalme wa Babel hajawahi kuishi mbinguni,Soma kwa kutulia uone kama inamuhusu mfalme wa Babel

Katika Biblia mara nyingi mtu halisi anatumika kama mfano wa nguvu ya kiroho nyuma yake.

Mfano: Ezekieli 28:12–17, maandiko yanaanza kumlenga mfalme wa Tiro, lakini ghafla yanaeleza sifa ambazo hazihusu binadamu wa kawaida (“ulikuwa katika Edeni, ulifunikwa na mawe ya thamani, ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta”). Hapa tunaona mfano wa Shetani kupitia mfalme wa Tiro.

Vivyo hivyo, Isaya 14 inaanza kwa mfalme wa Babeli lakini lugha ya kifasihi (“nilipanda juu ya nyota za Mungu”, “nitakuwa kama Aliye juu”) inapita mipaka ya mfalme wa kawaida wa kidunia.
 
Kwamujibu wa biblia sio tanakh
 
Sasa kama agano la kale ni tanakh hapo anazingumziwa mfalme wa babeli Kwa mujibu wa tafsiri za kiyahudi sio wakristo
Ni kweli kabisa kwa mujibu wa Wayahudi, Isaya 14:12–15 inahusu tu mfalme wa Babeli.,Ila wakristo tuna agano jipya ambalo Yesu amelezea humo, kumbuka Wayahudi wanatafsiri kimwili zaidi, wakristo wanaenda mbele zaidi,

Wayahudi hawana mafundisho ya Shetani kama “Lucifer aliyeanguka,” kwa hiyo hawalitafsiri kiroho.

Wakristo tunatumia Agano Jipya kama ufafanuzi wa Agano la Kale. Ndiyo maana mafundisho ya Kikristo yanachukua picha ya mfalme wa Babeli → kuunganisha na kuanguka kwa Shetani, kulingana na aya hizi👇👇

Luka 10:18 – “Nilimwona Shetani akianguka kama umeme kutoka mbinguni.”

Ufunuo 12:7–9 – vita mbinguni, Shetani na malaika zake wakaangushwa.

Kwahiyo Kwa Wayahudi (Tanakh) ni mfalme wa Babeli.

Kwa Wakristo (Biblia yote – Agano la Kale + Jipya) ni mfano wa Shetani (Lucifer).
 
Kwann mpishane sasa kipindi we unaamini maandiko yao wao hawaamini maandiko yenu hii shida ndo inapoanzia.

Turud kweny hoja ya majini sasa nitashusha nondo asubh
 
Humu kwenye elimu za kulishwa ndimo ujinga wenu umejaa,kwa elimu hii kweli mtajikwamua?sht holes!!
 
Kwani Muddy naye si ni jini tu? Uislam bwana, yaani ni zaidi ya laana tuijuayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…