Elimu itolewe VAT tourism, stakeholders confused

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,951
3,239
Kwa sasa kuna confusion kubwa sana kati ya watalii, Tour Operators na Lodge

Kwanza kuna idadi kubwa ya watalii waliolipa deposit wanataka money back and Cancelled

Mbili, Tour Operators wanasema Lodges bei zao zina VAT, je Package ikiongeza tena 18 % VAT, je kipengele cha Lodge kitakuwa kimetozwa 36% VAT

Travel Agents nje hawajui information au travel tips za kuwapa watalii wa nchi zao...

Nashauri Waziri Mpango na Waziri Maghembe watoe muda grace period hadi January 2017, ili elimu itolewe na watalii waliolipa deposit wamalize vacation zao Tanzania.

TRA kitengo cha elimu wako kimya, na wanaulizwa maswali, wanakwepa.....NO Cooperation
 
Back
Top Bottom