The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,396
- 1,784
Baada ya Bunge la Tanzania kupitisha bajeti iliyoweka kodi ya ongezeko la thamani katika sekta ya utalii, maelfu ya watalii waliokuwa watembelee Tanzania kuanzia Julai mosi mwaka huu wamefuta safari zao na kuzua hofu ya utalii katika Tanzania kuporomoka.
Kufikia leo asubuhi kampuni kubwa za mawakala wa utalii jijini Arusha zimeripoti katika chama chao kuwa wageni zaidi ya 8000 wamekatiza safari na kupoteza kiasi dola milioni sita.
Source: DW Kiswahili
Kufikia leo asubuhi kampuni kubwa za mawakala wa utalii jijini Arusha zimeripoti katika chama chao kuwa wageni zaidi ya 8000 wamekatiza safari na kupoteza kiasi dola milioni sita.
Source: DW Kiswahili
Aisee!! Mawakala wa watalii leo wamelalamika kuwa watalii wengi wamefuta safari za kuja Tanzania kutokana na serikali kuongeza kodi kwa watalii..na serikali imepoteza zaidi ya milioni mia mbili ambazo zingeenda direct TANAPA..
Na general zaidi ya dola laki nane zimepotea.. Baadhi ya wafanyakazi wameanza kupewa likizo za lazima..(source .DW Swahili)
My take;
Hivi Magufuli anajua nchi inapoenda?
Mimi namuona amekaa kishari shari tu....
More; Leo nilienda kula pale bongo fleva msasani barkessa pembeni ya travel partner.. Nikakuta wamefunga.. So sad..wanadai biashara ngumu sana na wamequit market.. Wamefunga store zao zote na nyingine ipo kariakoo pale pembeni ya KFC..
."im just speechless"
TTB are expert tourism people and failed to advise Ministers/President....?
Do TTB people know about travel packages and when tourists pay for this?
How comes tourist have planned their budget and paid for Tanzania tours, then suddenly you ask increase of 18% VAT?
This is crisis in Tourism
This means Tanzania tourism destination has lost Trust to Travelers
Up to now hundreds of Tourists Cancelled Booked tours, it is truth... Ministers please, come and see Prove from TATO. And many tourists are not considering booking.....
How ever, Rich tourists are paying same park fee as Middle class tourists or budget travelers
Tourism stakeholders met several days and call upon Ministers and did not appear...
Still Government can withhold for One Year for Government and Tour Companies/Hotels to prepare and inform tourists. Give time to prepare New tour costs with VAT and can be Smoothly effective in 2017 July.