Elimu isichezewe

Elimu isichezewe

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,434
Reaction score
3,553
Kuna huu utaratibu wa watu kujiita Dokta flani wakati ana kadegree ama amjetihadi sana masters mpechempeche kisa tu ni kiongozi ni upuuzi.

Hivi hawa wanajua joto wanalopitia watu wa PhD mpaka wakatunukiwa ?,halafu wao hakuna hata chochote cha maana walichokifanya ghafla wanajiita Dr.

Huu upuuzi ukiendelea Kuna watu wataanza kujivika degree kiholela.

Nikuinajisi elimu na jitihada za wasomi halisia
 
Kuna degree za phd katk ngaz tatu
1. Ukiwa na bachelor+masters+phd (huyo ni dr)
2. Ukiwa na bachelor ya md(degree moja ya medicine) we naye ni dr
3. Unaweza ukawa LA SABA B, kama yule mbunge lakn ukatunukiwa udaktar wa heshima kwa kufanya jambo fulani au kutoa mchango wa kitu fulani katika jamii, kwa kutambua mchango huo chuo fulan kinakutunuku hyo shahada ya heshima, we naye utaitwa dr. hatari ya hapa kuna vyuo ni machawa wa viongozi vinaweza gawa phd kama kokoto..
ndo hvo, na kuna stail ya kuziandka kiutambulisho.
 
Umeleza nilichoeleza ila eewe umenyumbua nilichoeleza Mfano Dr.Makonda ndio kitu gani? Na kiaje?
 
Punguza jazba mkuu,,,,mbona haka kautaratibu kapo tangu miaka ya 2018 nyuma huko.😆
Washapeana sana aisee.
 
Kuna huu utaratibu wa watu kujiita Dokta flani wakati ana kadegree ama amjetihadi sana masters mpechempeche kisa tu ni kiongozi ni upuuzi.

Hivi hawa wanajua joto wanalopitia watu wa PhD mpaka wakatunukiwa ?,halafu wao hakuna hata chochote cha maana walichokifanya ghafla wanajiita Dr.

Huu upuuzi ukiendelea Kuna watu wataanza kujivika degree kiholela.

Nikuinajisi elimu na jitihada za wasomi halisia
Dr. Jakaya kikwete
Dr. Samia suluhu Hassan
Angela KIZIGHA ( MPA) Mzumbe
Nape Nnauye ( MPA) MZUMBE
Bashite (MBA) Sijui wapi anafanyiwa research hotelini.
Dr. Gwajima [ PhD)
Msukuma ( PhD)
Jafo ( PhD)
Orodha ni ndefu sana sana. Tunachoshudia ni kuongeza idadi ya majimbo badala ya kuongeza hoja za tija bungeni?
Yaani wanaotupa MISAADA wamebaki na WABUNGE wao wachache. Wanaopewa misaada WANAONGEZA IDADI YA MAJIMBO BILA TIJA KILA SIKU
MTU MWEUSI ANA SHIDA HASA AKIWA CCM
 
Fakeni kabisa
 
Back
Top Bottom