Umeona mkuu jinsi uzito wa tatizo, lakini tusiwalaumu sana kwani wengi wameaminishwa kwamba unasoma ili uajiriwe badala ya kuzalisha ajiraWasomi wengi wa TZ ni watumwa kwa wanasiasa
akili fupi kama funza
"Elimu ni ufunguo wa maisha", ni neno la wahenga ambalo ni la kawaida sana lakini ukilifuatilia kwa umakini utagundua kwamba hiyo 15 million ambayo umeitumia ni kama umeshairudisha maana kuna vitu kibao vipya umepata ikiwemo uelewa wa mambo mbalimbali plus kufahamiana na watu.
Inabidi tubadili mtazamo kwamba unapokwenda chuo si kwa ajili ya ajira bali ni kukuza uelewa ambao ukiutumia vizuri utasababisha kupata hela na usijifunge kwenye unasoma kwa ajili ya kupata kazi ya kuajiriwa
Ndio maana waelevu wanasema, " kama unaona elimu ni ghari basi jaribu ujinga".
Ha ha ha samahan lakn
hahahahahaha bila samahan nataman niujaribu huo ujinga then nione what will happen kaka