Elimu, hapa kazi tu

Yericko Nyerere najua utanifikishia ujumbe wangu panapousika
kama umeona star tv wanavyomchafua mgombe wetu ndugu Lowassa..nasisi tutengeneze matangazo ya kuonyesha shule kama hizi na nyingine chakavu..na jinsi lowassa atakavyo badilisha.. hatuoni tangazo hata moja kwenye tv likionyesha mafuriko yetu..kwanini hatuna matangazo kwenye tv..tatizo liko wapi
 
Last edited by a moderator:

mkuu alafu ungejua kuwa huo msemo wa "hapa kazi tu" ni msemo wa vijana wengi ambao maisha yao hayana mbele wala nyuma.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…