jimmy fivao
Member
- Jun 5, 2015
- 26
- 3
kama kupaa ni fry basi ndege ni roast
Kama ulimsikia mtia nia wa urais kwenye ukumbi fulani huko Musoma,alitamka bayana amesoma mpaka mwisho.sasa wewe unataka kutuambia nini....
Umeshamfahamu
Bado niambie
Ni mmoja kati ya wale wataalam wachache tulio nao wenye shahada kibao na wanaotambulika duniani.