[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu kwenye mazishi maisha ya marehemu elimu ikianza kusomwa ni nusu saa inaamza first degree UDSM, first masters Holland, 2nd masters ....
Hii inaonesha kumjali marehem pia muda alioutumia ktk elimu utakua umetendewa haki japo kwa kiasi kidogo.Mkuu kwenye mazishi maisha ya marehemu elimu ikianza kusomwa ni nusu saa inaanza first degree UDSM, first masters Holland, 2nd masters ....
Bibi ametutoa miaka 10 kuitafuta degree, wasifu wake atakuwa ni graduate hapana taka mchezoHii inaonesha kumjali marehem pia muda alioutumia ktk elimu utakua umetendewa haki japo kwa kiasi kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimerudi, taarifa za Kimlan zaidi ya kugraduate hakuna kingine, nikaamua kuangalia gharama za ada ya chuo ili nione kama zitaakisi maisha yake, naona vyuo vya nchi zinazoendelea kubadilisha taarifa mtandaoni wagumu mno.
Kwenye wheel chair yake mambo bambam.Bibi ametutoa miaka 10 kuitafuta degree, wasifu wake atakuwa ni graduate hapana taka mchezo
Mkuu uko vizuri kwa utafitiNimerudi, taarifa za Kimlan zaidi ya kugraduate hakuna kingine, nikaamua kuangalia gharama za ada ya chuo ili nione kama zitaakisi maisha yake, naona vyuo vya nchi zinazoendelea kubadilisha taarifa mtandaoni wagumu mno.
Nimekuta maelezo ya ada lakini ni ya mwaka 2012
View attachment 564409
Nimejumlisha hizo gharama na kuzileta kwenye dola ya Marekani ni 72.289 cheap vibaya mno. Ila nikaona pia ana mjukuu wake alienda kusomea Doctorate Marekani na siyo kwa scholarship.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Apo ametimiza ndoto ajakwambia hataki kufa,..
Anatafuta heshima duniani na mbinguniKwani ukisoma hadi uzeeni unafaidika nini maana elimu ni njia moja wapo ya Ku sovu maisha magumu sasa uzee huo anasoma ili aende wapi au anataka sifa!!! Maana hapo kwa miaka aliyobakisha hapa duniani ni jioni sio mchana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiendeleze pia bado haitoshi hio elimu yako.Vipi mimi niliye ishia chuo mwaka wa kwanza, Charlton university, U.K
inamsaidia nini sasa
sio umeishia form one, sema umeachia form one. watu huishia std seven, form 4 na form 6, na chuo.