Mkuu sorry kama nitakukera ila siku nyingine kabla ya kuleta uzi au maada hapa ndani jaribu kuinyumbua mwenyewe na kuona kweli inafaa kuombewa ushauri.
Yaani unatafuta kazi kwa cheti cha foundation course seriously?
Hiyo foundation course ulikuwa unasomea nini unashindwa kuelewa kwamba hiyo course ulikuwa unapatiwa ili kujiandaa na masomo ya elimu ya juu sasa wewe unataka kazi dah!
Nikushauri kitu mkuu rejea elimu yako ya nyuma either O'level or A'level
Js