Elimu Bure Vyuo Vikuu, Lowasa kalenga mbali

Hii nchi ndo maana Lowassa na chadema wameweka kipaumbele cha 1-elimu 2-elimu na 3-elimu. Hiyo unayoiita board ya mikopo ni mali ya nyumbani kwenu!?? Waulize wote waliosoma kwa huo mkopo aliyemaliza kulipa hilo deni hata nusu. Acha ujinga hiyo board badala ya kukopesha itabadilishiwa kazi za kufanya. Hizo unazokopeshwa hutazirudisha tena,maana hata sasa ni za serikali.
 

ukipewa asilimia mia kama unasoma vyuo vya serikali ndo hulipi chochote but most of those wanaosoma private institution wanaongezra prsa ata kama wana 100% na vyuo vya serikali ni vichache so wanafunzi wengi wanasoma vyuo vya private
 

Unataka watu warudishe hiyo hela wakati majority wako mtaani hawana kazi ?

Tatizo kubwa ni ubora wa elimu yetu na sio gharama ya elimu.Kwa sasa hata elimu ya msingi na secondari ikiwa bure still wengi watapeleka watoto shule za private.

Another priority ni kuwaondoa graduates waliojaa mtaani na sio kuwaongeza kwa kugezo cha elimu bure
 

Hhhhhhhh itafahamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…