JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
- Thread starter
-
- #21
Ni ahadi ngumu kutimiza lakini Mungu akijalia ikatimizwa basi umasikini utakua umepunguzwa kwa asilimia kubwa sana. Hali ya mzunguko wa fedha nchini ni mbaya sana jambo linaloathiri biashara zote na si kwamba watu hawana pesa ila kutokana na mwamko wa elimu kipaumbele cha kila mzazi ni kugharamia elimu ya mwanae. Endapo atabebewa mzigo huo basi angalau atamudu kula milo miwili, ataweza kujenga makazi bora, na hata kuweza kunywa soda wikendi kama si bia. Fedha zitarejea kwenye mzunguko na biashara nyingi zitapata uhai.
Kipindi hicho wanafunzi walikuwa wangapi? Tena miaka hiyo huenda walikuwa wanapikiwa msosi kama sekondari. Wanafunzi wote walikuwa wanapata accommodation vyuo, sasa hali ni tofauti. Nafikiri kuna assignment kubwa ya kufanya kabla hatujaifikia.

Elimu bure vyuo vikuu itawezekana kuanzia 2020 siyo kuanzia j3 tar 29 kama lowasa anavyoahidi. Huko ni kuongopea watu.
Mimi ni kati ya hao wanafunzi wa enzi ya kila kitu bure. Kipindi hicho Faculty iliyokuwa inachukua wanafunzi wengi ilikuwa engineering na jumla ya wanafunzi kwa mwaka wa kwanza tulipoanza sisi ilikuwa 180. faculty of law ilikuwa inachukuwa wanafunzi 20. na jumla ya wanafunzi wote kwa faculty nzima ilikuwa 60. Huo ni mfano tu.
Huenda ni kwa kukosa uelewa kamili au ni kwa kukusudia ila atakuwa kalenga mbali na kukosa shabaha. Gharama za elimu ya chuo kikuu ni kama:-
1. Tuition fee
2. Meals and accommodation
3. Practical training/industrial practices nk
4. Special faculty requirements.
Je ikiwa bure ni kipi kitatolewa bure au vyote.
Je, loans board itafutwa?
Je, kama ikifutwa, mbona hatusikii kuwa wadaiwa wa loans board watafutiwa madeni yao, maana hakutakuwa na wakuyakusanya.
Hii ahadi imepakwa rangi ila ni sawa na kumpa mbu kazi ya kutibu malaria.
Hata mimi namshangaa sana huyu jamaa anadhana wasomi wote wamesomeshwa na mikopo daaa!!!tatizo wamegubikwa na blanket la ccm halafu kuna baadhi naona wanamsapoti utadhani kaongea pointi kumbe hakuna anachokijua.hv unajua loan board ilianzishwa lini?...HESLB became operational in July 2005.kabla yahapo watu walikua wanasoma vyuoni kwa hela ya serikali kila gharama ilikua covered..
Ni ahadi ngumu kutimiza lakini Mungu akijalia ikatimizwa basi umasikini utakua umepunguzwa kwa asilimia kubwa sana. Hali ya mzunguko wa fedha nchini ni mbaya sana jambo linaloathiri biashara zote na si kwamba watu hawana pesa ila kutokana na mwamko wa elimu kipaumbele cha kila mzazi ni kugharamia elimu ya mwanae. Endapo atabebewa mzigo huo basi angalau atamudu kula milo miwili, ataweza kujenga makazi bora, na hata kuweza kunywa soda wikendi kama si bia. Fedha zitarejea kwenye mzunguko na biashara nyingi zitapata uhai.
Hivi kweli kuna wanaoamini hiyo ahadi inaweza kabisa kutimizwa katika zama hizi?
Hajatuambia fedha za kutoa elimu ya bure anazipataje,hatukubaliani na mamvi,anatupotosha
hv unajua loan board ilianzishwa lini?...HESLB became operational in July 2005.kabla yahapo watu walikua wanasoma vyuoni kwa hela ya serikali kila gharama ilikua covered..

Hayo mabandiko mawili hayapingani. Sera ya elimu ya mwaka 1995 ilitaja elimu ya msingi kuwa free and compulsory. Baada ya mafanikio ya MME na MES inaonesha kuwa kumbe tukisema secondary ndo iwe free and compulsory tunazo scientific bases. Hii mihemko ya kisema tuifanye elimu ya chuo kikuu ndo owe f&c ni kukurupuka.Hoja yako ni nini hasa!!!
Mbona unakuwa kama mlevi???
Embu kaa chini usome ukitafakari haya mabandiko mawili utajishtukia.
Hayo mabandiko mawili hayapingani. Sera ya elimu ya mwaka 1995 ilitaja elimu ya msingi kuwa free and compulsory. Baada ya mafanikio ya MME na MES inaonesha kuwa kumbe tukisema secondary ndo iwe free and compulsory tunazo scientific bases. Hii mihemko ya kisema tuifanye elimu ya chuo kikuu ndo owe f&c ni kukurupuka.
Hakuna anayepinga watoto kusoma bure...! Tunachokataa ni kuongopewa kuwa hili ni jambo linaweza kutokea kwa ghafla bin vuu. Technically, unaposema elimu bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu una-include hata vyuo vya kati. Kwa mtu aliye sober atagundua kuwa it's too over ambitious.Tatizo la CCM na wafuasi wake ni kuishiwa pumzi, hawana uwezo wa kupanda mlima tena.
Tunawashauri kubalini mpumzike, mpate pumzi labda mtaweza tena kuanza kukwea mlima!
Hakuna kitakachowekana kwenu kwa sababu mmengwa ktk mazoea hayo na imani ya "everything is impossible!"
Elimu ya watoto na vijana wetu itagharamiwa na serikali kuanzia chekechea hadi chuo kikuu. Andaeni watoto wenu wenye sifa ya kusoma, serikali yao ijayo chini ya CHADEMA/UKAWA ikiongozwa na Rais Edward N. Lowassa itawapa fursa hiyo bila kikwazo!!