Elimu bure, tunaomba mchangie elimu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Akiongea na wana ccm wa mkoa wa dsm leo mkuu wa dsm said meck sadiki amewaomba wana nchi wa jiji la dsm kuchangia elimu,sasa ndio naiona ile cd yao ya elimu bure ndio hiyooo inaanza kuyeyuka
 
Back
Top Bottom