Elimu bure mpaka chuo kikuu inawwezekana

Elimu bure mpaka chuo kikuu inawwezekana

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
668
Reaction score
426
Jamaa mmoja Kada wa CCM,mesema kuwa Elimu bure kwa chuo kikuu hawezekani, haya ndiyo maneno yake

"Huenda ni kwa kukosa uelewa kamili au ni kwa kukusudia ila itakuwa Lowassa kalenga mbali na kukosa shabaha. Gharama za elimu ya chuo kikuu ni kama:-
1. Tuition fee
2. Meals and accommodation
3. Practical training/industrial practices nk
4. Special faculty requirements.
Je ikiwa bure ni kipi kitatolewa bure au vyote.
Je, loans board itafutwa?
Je, kama ikifutwa, mbona hatusikii kuwa wadaiwa wa loans board watafutiwa madeni yao, maana hakutakuwa na wakuyakusanya.
Hii ahadi imepakwa rangi ila ni sawa na kumpa mbu kazi ya kutibu malaria."




Mimi kama
Ndiyomkuusana, Maoni yangu ni haya


"Ndugu hilo suala linawezekana, kwa sababu mpaka muda huu watu wanasoma na asilimia( 80%) ya wanaograduate wapo Mitaani hawajapata kazi ,wengine na miaka zaidi ya mitano mitaani hawajapata kazi. na hao waliyopata kazi ni asilimia 54% ndiyo wameanza kulipa hiyo mikopo ya loan board.


Na mpaka sasa Loan board hajawahi kusema kwamba imefilisika kwa kutolipwa madeni yao.


LOWASSA atakachokifanya ni KUibadilisha Higher Education Students'Loan Borard (HESLB) na kuwa Higher Education students' Financial Support(HESFS)
Hili linawezekana kulingana na Rasilimali tulizokuwa nazo."
 
Sasa huoni kuwa watu wanshindwa kuajirika (hao 80%) kwavile elimu yao ina walakin (job seekers). Hiyo elimu ya BURE ndo itakuwa BURE kabisa.
 
Back
Top Bottom