Elimu bure maana yake nini?

Elimu bure maana yake nini?

JaphetJacob

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
106
Reaction score
121
Rais anaposema watu wazae tu watoto maana watasoma bure afu wakifika advance anawakandamiza kwa grade ambazo ki ukweli ni ngumu ukilinganisha na miondombinu mashuleni
Pia kutotoa fedha kwa ajili ya field kwa wakati huku watu wanateseka
Hii kweli ni nia ya dhati au siasa
 
Tunawapiga kwenye vijiji, tunawanyooosha vitongojini.....
 
Unapoambiwa jambo changa na akili yako pia, maana ukifuata ya mwanadamu mwenzako unaweza ukafyatuka akili.
 
Back
Top Bottom