Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,099
AsanteNovember
AsanteNovember
Watampanga shule ya kata maana kama mitihani ya kusiliba, huenda kabahatishaMdogo wangu amepata A tano
Nasubiri nione atachaguliwa wapi kama vipi nimfanyie transfer kwenda special school hasa hasa Kibaha
Wako wengi sana wenye ufaulu huo so,Mi mdogo wangu (ke) amepata A nne na B moja sijui atapangwa shule gani aisee maana usishangae wakamtupa shule ya kata tena day mwanzo mwisho