singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
watia tiki kwa maana gani mbona kama sijaelewa
asante kwa taarifa na nimemaliza kuwasikiliza wadau walio hudhuria kikao hicho wanasema ,,, bashe anasema "kuwa ni makosa kwa watanzania kudhani na kufikiri maendeleo yapo kwenye vitu kama barabara , gari, n.k bali sasa tunapaswa kufikiri kuhusu uwekezaji mkubwa kwenye elimu " naye Kitila mkumbo anasema kuwa "fedha zinazotolewa na serikali hazilingani na michango iliyokuwa na inatolewa na wananchi kiasi kwamba sasa kutakuwa na matatizo ya kuwaaajiri walinzi wa shule kwa fedha zinazotolewa na serikali".Utafiti unaonyesha 80% wameikubali na kuridhishwa na elimu bure.
Kuna wale wanaosemaga wananchi hawajaelimika wanaenda kuwaelimisha. Waende kuwaelimisha kwamba elimu bure ni maigizo muone mtavyopigwa mawe. Wananchi wanaona kila kitu kwa macho yao vidole viwili mjipange haswa.
Kaka hujui hata faida ya utafiti basi piga kimyaHivi mbona ccm wana haha kama elimu ni bure ,si tunaiona ni mpaka mtu afanye utafiti wa huo ubure wake ?? Mm na dhani wangefanya utafiti waongeleee ubora ,ss wananchi tunajua kama ni bure au sio bure
Na wewe fanya utoe na methodology yako????????????????Methodology ya utafiti wao wangeiweka wazi, sampling technique nayo tungeijua hata sample size pia sio mbaya kama paradigm iliyotumika na assumption yao. Elimu bure ni kifaa kinachotumika kuzima namna yyte ile ya kuhoji au kuspeculation ubora wa hicho cha bure unachopewa. Bure aghali guys!!!