Eliezer Feleshi Atimuliwe Madarakani Kwa Manufaa Ya Umma

Heri mzee Tendwa alifanya kazi nzuri kuliko huyu Fisadi Feleshi. Hela ya EPA imemtakatisha sana, ana utajiri wa kufuru huyu jamaa hawezi tena kutumia weledi. Na yeye Feleshi kama fisadi mwingine anajua CCM ikitoka madarakani rushwa na ufisadi havitakuwa dili na ndo itakuwa mwisho wake, ndo maana anapambana mstari wa mbele pamoja na Mwigulu Savimbi dhidi ya Chadema
watu wa mbwinde wakisha kujaga dar basi akili zinachange
 
Huyu naitaji kujua elimu yake jmni maana anatumika kisiasa kesi ya mafisadi hapeleki mahakamani mwigulu amekuwa akimpeleka balaa kama mtoto wake anadhalilisha taaluma ya sheria ajiuzulu mara moja hyo
 
Huyu naitaji kujua elimu yake jmni maana anatumika kisiasa kesi ya mafisadi hapeleki mahakamani mwigulu amekuwa akimpeleka balaa kama mtoto wake anadhalilisha taaluma ya sheria ajiuzulu mara moja hyo

Pitia posts za juu kwanza ndo uje tena mkuu.
 
Baada ya kesi za ughaidi dhidi ya viongozi wa Chadema ya Gaidi Mwigulu na Fisadi Eliezer Feleshi kugongwa mwamba,ni muda Bwana Feleshi akaachia madaraka kuwapisha watu wenye ujuzi zaidi kufanya hiyo kazi.

Ikumbukwe, Feleshi amekuwa akizuia kesi zote za ufisadi kuanzia EPA and Meremeta, amezuia kesi zote zinazouhsiahana na wakubwa hadi wauza madwa ya Kulevya. Faili nyingi amepewa ya wauza madawa ya kulevya akayazuia. Jinsi Tenda alivyotimuliwa, Feleshi naye atimuliwe

Leo Jaji wa mahakama amemuonyesha jinsi uwezo wake ulivyo mdogo, hadi kufikia hatua ya kumuonya kuhusu mashtaka wanayoleta ya kighaidi. Nadhani ni vyema Feleshi akatimuliwa ikiwa hataki kujiuzulu. ni mzigo na hasara kubwa kwa taifa. Dr. hosea aliwai kusema hadharani jinsi feleshi anavyobania faili za watuhumiwa
images

baya zaidi kila kesi anayofungulia chadema inashindwa,atakuwa anakula mlungula toka kwa akina mbowe,hafai kabisa.
 
Mtu hufahamika kwa matendo yake , amefanya hovyo kabisa , hivi unafahamu ni kwanini amefuta kesi ya idd simba ? Mikwara yako haitasaidia kitu chochote .

Eti kwa ushauri wa kisheria utembelee SUKARI house,ndugu yangu kama Mwanasheria mwenyewe ndio huyu,USIENDE,maana na wewe kama una kesi utakula MWELEKA..

Wewe ndio unatoa POVU. Mimi natimiza wajibu wangu wa kumnanga huyu DPP kilaza kuliko wote katika historia ya Tanzania. Hata ukimpa hiyo nafasi FRESH GRADUATE, he/ she could do a far better job than Eliezer Feleshi. Kwanza kwa nini kesi za EPA haziendelei na nyingi amezifutia mashtaka?? Kwa nini kamfutia mashtaka Iddi Simba?? Jibu ni kuwa kwa vile kachukua kitu kidogo. Jamaa anaendesha maisha kwa kutumia silaha inaitwa Nolle Prosequi (correct my spelling kama nimekosea), akiigonga tu hiyi silaha yake anachukua mpunga wa kutosha anaenda kuporomosha mijengo usukumani. Halafu wasukuma sijui kwa nini mmeharibika sana siku hizi hadi jamii haiwaamini kabisa, we fikiria Chenge, Ngeleja, Hosea na Feleshi wote ni wasukuma na ni majanga ya kitaifa...

Usikimbie mjadala mkuu, baki hapa hapa tukupe vidonge vyako umpelekee Feleshi. Na kwa taarifa yako SUKARI HOUSE siwezi kuja hata bure. Kama kuna genge la wanasheria hapo walioshindwa 95% ya kesi walizofungua mahakamani mimi nije kutafuta ushauri gani hapo. Labda kama kuna PUB hapo nije kugonga na nyie Castle Lite kusherehekea Jaji wa Tabora alivyowavua hayo masuti yenu meusi.

Mkuu unanifurahisha sana,
Labda nianze na hili la mimi kuchangia,mimi ni mwanachama humu,hivyo nikiona kuna kitu kinanigusa nadhani nina haki ya kuchangia maadamu sivunje sheria za JF na nchi kwa ujumla..

Pia mimi sijibishani na wewe personal,mimi natofautina na maandiko yako ambayo naona kama unataka kutetea uovu na uzembe,

Kuhusu hilo la debate hiyo ya Dr.Hosea na Felleshi,sisi wengine hatujawahi kusikia kama ndugu Felleshi aliomba hilo suala,jambo jingine la msingi,hivi kama ni kweli Bwana Hosea na Felleshi wanatofauti za kiutendaji,hiyo open forum unadhani ndio njia sahihi ya kutatua huo mgongano wao?

Kaka,kumtetea ndugu Felleshi,inahitaji uwe na moyo mgumu kama Farao

Mwisho,Sijawahi na sito mtukana Mtanzania yeyote acha tu huyo nduguyo Felleshi,ila nitakosoa pale ambapo hakuko sawa

We umeogopa kumtaja huyo mtu mimi nakutajia kuwa ni Robert Kisena wa Simon Group....

Sasa ilikuwaje Feleshi akaipeleka hiyo kesi mahakamani in the first place huku akijua kabisa kuwa hana ushahidi wa kutosha?? Kwa nini asingeendelea kubanana na Hosea hadi apate ushahidi kwanza ndio ampeleke Simba mahakamani??

Na pia kama anaburuzwa namna hii na Feleshi ana PHD yake, kwa nini asikatae AMRI za Mwigulu Nchemba kubambikizia watu kesi na ikiwezekana awe tayari kujiuzuru hiyo nafasi kwa vile analazimishwa kufanya vitu ambavyo ni kinyume na maadili ya kazi zake na elimu yake?? Kwa nini anang'ang'ania ofisi.

Pia kwa nini Mnashindwa 95% ya kesi mnazofungua Mahakamani??

Feleshi ni miongoni mwa viongozi wazembe kabisa nimewahi kuwashuhudia TANZANIA.Uteuzi wake nadhani waliangalia kufahamiana kuliko WELEDI WA KAZI YAKE.
sijawahi kuona allegations ambazo hazina mashiko kama hizi. ninamahamu feleshi na nimefanya naye kazi. anafika ofisini saa kumi na moja asubuhi anaondoka hata saa mbili usiku kila siku ya maisha yake, hakuna mtu anapiga kazi kama feleshi.

kuhusu kufukuzwa, yule ni mteuliwa wa Rais, na hadhi yake ni jaji wa mahakama kuu, akijiuzulu leo haendi nyumbani, ni jaji yule, pia ninaamini hata yeye anaweza kuwa moyoni mwake anatamani kama angekuwa na nafasi angeachia ngazi lakini kwasababu haiwezekani basi anaendelea tu, kwasababu hakuna kazi ngumu na mbaya kama kuwa dpp.

ubaya wake ni kwamba, unakuwa adui mkubwa wa watu wafuatao:-

  1. kwanza kabisa, unakuwa adui wa washitakiwa hata kama kuna a hundred percent kuwa wameiba/wana makosa, watakupinga na kukuchukia tu, wanataka relief waachiwe wakati wana kosa
  2. pili, unachukiwa na watu ambao hawajui kinachoendelea. kama mtoa mada, hajui ni kwanini kesi ya iddi simba iliondolewa, hajui process ya majalada ya pccb yanayoenda sukari house for kabla na baada ya kupelekwa mahakamani, na hajui procedure za mahakamani zikoje na options zake za nolle au withdrawal for good ili baadaye case ije kuwa reinstituted badala ya kuzuiwa na reinstitution kwasababu alipigwa aquittal.
  3. nne, hapa tz kuna maelfu ya kesi zinafunguliwa kila siku kila mkoa, wote hawa wapo chini ya feleshi, lakini hata wakili wa serikali akifanya kosa mkoani lawama zote ni za feleshi...yeye sio mashine kwamba afanye kila kitu, pia anao watendaji ambao wakati mwingine nao ni wadhaifu na wanadamu, ila lawama za institution yote zinaenda kwae...angalia kule Tabora, mlimwona feleshi amekuja kuendesha kesi? si anao wawakilishi wake wa mkoani ambao ndo wanafanya hayo lakini lawama zinaenda kwa feleshi.
  4. tano, ni kazi ngumu kusoma majalada maelefu,
nampongeza kwa kazi nzuri amefanya hadi leo, miaka mingi amefanya, na ninaamini bado tunamhitaji. ukitaka kujua uzuri wa huyu jamaa, waulize mawakili wa serikali, usiwaulize wanasiasa hasa wa upinzaji. wao kila criminal case inayotokea hapa tz hata ile ya kweli ambayo wamekosea, wanamlaumu.

pia, nafikiri jf inatakiwa kurekebisha ili mtu anayeleta allegations, awe anazileta kwa moyo wa haki, si kwa kumchafua mtu ili aeleweke vibaya pengine ni kwasababu yeye alitenda kosa akawekwa ndani sasa ametoka na mahasira yake ya kutukana watu na kuhangaika namna hii. poleni sana kwa kusumbua akili zenu.
 
Mtu hufahamika kwa matendo yake , amefanya hovyo kabisa , hivi unafahamu ni kwanini amefuta kesi ya idd simba ? Mikwara yako haitasaidia kitu chochote .

Eti kwa ushauri wa kisheria utembelee SUKARI house,ndugu yangu kama Mwanasheria mwenyewe ndio huyu,USIENDE,maana na wewe kama una kesi utakula MWELEKA..

Wewe ndio unatoa POVU. Mimi natimiza wajibu wangu wa kumnanga huyu DPP kilaza kuliko wote katika historia ya Tanzania. Hata ukimpa hiyo nafasi FRESH GRADUATE, he/ she could do a far better job than Eliezer Feleshi. Kwanza kwa nini kesi za EPA haziendelei na nyingi amezifutia mashtaka?? Kwa nini kamfutia mashtaka Iddi Simba?? Jibu ni kuwa kwa vile kachukua kitu kidogo. Jamaa anaendesha maisha kwa kutumia silaha inaitwa Nolle Prosequi (correct my spelling kama nimekosea), akiigonga tu hiyi silaha yake anachukua mpunga wa kutosha anaenda kuporomosha mijengo usukumani. Halafu wasukuma sijui kwa nini mmeharibika sana siku hizi hadi jamii haiwaamini kabisa, we fikiria Chenge, Ngeleja, Hosea na Feleshi wote ni wasukuma na ni majanga ya kitaifa...

Usikimbie mjadala mkuu, baki hapa hapa tukupe vidonge vyako umpelekee Feleshi. Na kwa taarifa yako SUKARI HOUSE siwezi kuja hata bure. Kama kuna genge la wanasheria hapo walioshindwa 95% ya kesi walizofungua mahakamani mimi nije kutafuta ushauri gani hapo. Labda kama kuna PUB hapo nije kugonga na nyie Castle Lite kusherehekea Jaji wa Tabora alivyowavua hayo masuti yenu meusi.

Mkuu unanifurahisha sana,
Labda nianze na hili la mimi kuchangia,mimi ni mwanachama humu,hivyo nikiona kuna kitu kinanigusa nadhani nina haki ya kuchangia maadamu sivunje sheria za JF na nchi kwa ujumla..

Pia mimi sijibishani na wewe personal,mimi natofautina na maandiko yako ambayo naona kama unataka kutetea uovu na uzembe,

Kuhusu hilo la debate hiyo ya Dr.Hosea na Felleshi,sisi wengine hatujawahi kusikia kama ndugu Felleshi aliomba hilo suala,jambo jingine la msingi,hivi kama ni kweli Bwana Hosea na Felleshi wanatofauti za kiutendaji,hiyo open forum unadhani ndio njia sahihi ya kutatua huo mgongano wao?

Kaka,kumtetea ndugu Felleshi,inahitaji uwe na moyo mgumu kama Farao

Mwisho,Sijawahi na sito mtukana Mtanzania yeyote acha tu huyo nduguyo Felleshi,ila nitakosoa pale ambapo hakuko sawa

We umeogopa kumtaja huyo mtu mimi nakutajia kuwa ni Robert Kisena wa Simon Group....

Sasa ilikuwaje Feleshi akaipeleka hiyo kesi mahakamani in the first place huku akijua kabisa kuwa hana ushahidi wa kutosha?? Kwa nini asingeendelea kubanana na Hosea hadi apate ushahidi kwanza ndio ampeleke Simba mahakamani??

Na pia kama anaburuzwa namna hii na Feleshi ana PHD yake, kwa nini asikatae AMRI za Mwigulu Nchemba kubambikizia watu kesi na ikiwezekana awe tayari kujiuzuru hiyo nafasi kwa vile analazimishwa kufanya vitu ambavyo ni kinyume na maadili ya kazi zake na elimu yake?? Kwa nini anang'ang'ania ofisi.

Pia kwa nini Mnashindwa 95% ya kesi mnazofungua Mahakamani??

baya zaidi kila kesi anayofungulia chadema inashindwa,atakuwa anakula mlungula toka kwa akina mbowe,hafai kabisa.
yamekukuta mambo gani aisee, mbona una hasira sana halafu hauleti hoja ya msingi yenye mashiko? na, unapotaja chadema, wewe ni msemaji wake au unawakilisha wanachadema hapa ndani?
 
Unamfahamu vizuri Feleshi au umekurupuka tu mkuu!!!???

Mkuu kuna kitu tunaita personal responsibility, yeye kama DPP ana mamlaka na mashtaka ya jinai yanayofunguliwa nchini, yana mkono wake chini ya state attorneys so unapofungua kesi za ugaidi wakati ingredients za hyo kitu haipo, umakini wa DPP unakuwa shakani na in that sense anapaswa kuachia ofisi hii maana imenajisiwa vya kutosha
 
Heri mzee Tendwa alifanya kazi nzuri kuliko huyu Fisadi Feleshi. Hela ya EPA imemtakatisha sana, ana utajiri wa kufuru huyu jamaa hawezi tena kutumia weledi. Na yeye Feleshi kama fisadi mwingine anajua CCM ikitoka madarakani rushwa na ufisadi havitakuwa dili na ndo itakuwa mwisho wake, ndo maana anapambana mstari wa mbele pamoja na Mwigulu Savimbi dhidi ya Chadema
Aiseeeeh... Imekaa safi sana.... Huyu hapo kawekwa kupiga mkono kesi za mafisadi
 
Unamfahamu vizuri Feleshi au umekurupuka tu mkuu!!!???
Hebu tujuze basi mkuu maana tunamjua kwa kufuta kesi za mafisadi na kupitisha kesi za kubambikiza. Hebu tujuze mkuu maana hakuna anayependa dhambi ya kumdhania mtu mwingine uovu.
 
Ficha u.p.u.m.b.a.v wako usifiche hekima yako, unadhani kwa akiri zako Feleshi anafurahishwa na yanayotokea? Unadhani Feleshi anapenda uonevu? Unadhani kwa nini alifuta kesi ya UDA?!! Unadhani kwa nini hawapatani na AG?!! ushawahi kujiuliza kwa nini kesi zote hizo za ajabuajabu wanazifungua akiwa nje ya nchi kikazi...!!!?? Acha ushabiki wa kijinga tumia ubongo wako kupambanua mambo.
Wacha kung'aka bure, kama wewe unajua kwa nini alifuta kesi ya UDA siutuambie basi na sisi tujue. Umma wa watanzania unashangaa; shirika la serikali ndio lishaenda kwa bei hiyo ya kutupa (bil moja badala ya bil 12); Idi Simba ndio poa kuondoka na milioni 300 za mauzo ya UDA alizoweka mfukoni kwake mambo yamekwisha. Hebu tuambie hii ndio utawala bora wa ccm?
 
Usikimbie mjadala mkuu, baki hapa hapa tukupe vidonge vyako umpelekee Feleshi. Na kwa taarifa yako SUKARI HOUSE siwezi kuja hata bure. Kama kuna genge la wanasheria hapo walioshindwa 95% ya kesi walizofungua mahakamani mimi nije kutafuta ushauri gani hapo. Labda kama kuna PUB hapo nije kugonga na nyie Castle Lite kusherehekea Jaji wa Tabora alivyowavua hayo masuti yenu meusi.

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 
Hehe..ukikimbiza mwehu alokuchukulia nguo we ndo utaonekana mwehu, sijui hata profession yako aise..sidhani kama ni sheria.
Sumve 2015 tusije kukuita feleshi. Mbona unatetea bila facts. Unatuuliza maswali ambayo mwenyeye huna majibu. Hakuna uwazi kwenye matendo ya wakuu; umma tunaelewa tunachoona. kile tunachoona ni 'UFISADI' mtupu.
 
Mkuu Sumve,

Nenda kajipange upya ndio uje kumtetea huyu nduguyo Felleshi,kama huwa wanafungua kesi za kupumbavu wakati yeye hayupo,halafu hachukui hatua basi hii inaonyesha kabisa hatufai kwenye hiyo nafasi...

Feleshi kaonyesha uwezo wa kichwa cha samaki kesi zote alizobambikia watu wasio na hatia kwa kumwendekeza Kikwete na Nchemba zimemshushia hadhi maisha yake yote manake kesi zinareference hilo li feleshi
 
Naunga mkono hoja. Feleshi avuliwe madaraka yake kisha ashtakiwe kiraia kwa matumizi mabaya ya madaraka pamoja na kuhujumu uchumi.

His lack of foresight will lead to a drastic reduction in the number of tourists coming to Tanzania fearing being victims of acts of terrorism. The false and badly concocted terrorism cases against CHADEMA leaders and cadres have only one counter effect: Strengthening the resolve of CHADEMA leadership and increasing the positive public image of CHADEMA among the public.

The more you accuse, abuse, harrass and oppress someone or some entity, eventually the people stop believing the lies, and start supporting the oppressed and undermined.

In the words of UB40, let me say:

We will fight for our right to be free,
We will build our own society,
And we we will sing and we will sing,
Sing our own song!

Amandla Awethu!
(Power to the People)
 
yamekukuta mambo gani aisee, mbona una hasira sana halafu hauleti hoja ya msingi yenye mashiko? Na, unapotaja chadema, wewe ni msemaji wake au unawakilisha wanachadema hapa ndani?

kwanza huyu flesh ni chaguo la mafisadi,alipendekezwa na chenge wakati akiwa mwanasheria mkuu wa undugu vilevile,wafanyabiashara wa mwanza waliofanya mauaji moshi walifutiwa mashtaka bila kufikishwa mahakamani,sasa wanapanga kumuua patner wao
 
Back
Top Bottom