Eliezer Feleshi Atimuliwe Madarakani Kwa Manufaa Ya Umma

Nani asiyemfahamu Eliezer Feleshi kuwa ni DPP wa kwanza duniani kutojua maana ya neno Ghaidi...

Huyu jamaa ni janga la kidunia, sijui mganga gani alimwezesha kupata hiyo nafasi ambayo hastahili kabisa

Hehe..ukikimbiza mwehu alokuchukulia nguo we ndo utaonekana mwehu, sijui hata profession yako aise..sidhani kama ni sheria.
 
Ficha u.p.u.m.b.a.v wako usifiche hekima yako, unadhani kwa akiri zako Feleshi anafurahishwa na yanayotokea? Unadhani Feleshi anapenda uonevu? Unadhani kwa nini alifuta kesi ya UDA?!! Unadhani kwa nini hawapatani na AG?!! ushawahi kujiuliza kwa nini kesi zote hizo za ajabuajabu wanazifungua akiwa nje ya nchi kikazi...!!!?? Acha ushabiki wa kijinga tumia ubongo wako kupambanua mambo.
Kumtetea Feleshi ni sawa na kupulizia pafyumu kinyesi....

Huyu MJOMBA wako ni janga la kidunia. Kama kweli ana uwezo na kazi yake angeshinda hata 10% ya kesi anazofungua, yeye kila siku ni chali mahakamani halafu wewe unamtetea kwa vile ni kabila lako. Tanzania ya sasa sio ya kuonana mafala, ---- ni wewe unayeleta utetezi bila DATA wakati rekodi ya huyo KILAZA Feleshi inajionyesha yenyewe. Wakili Nguli Tundu Lissu alishawahi kusema hakumbuki ni lini kesi zilizofunguliwa na huyu DPP ziliwahi kushinda mahakamani. Huyu Feleshi ni mzigo kwa taifa.
 
Sijui hapa unalenga kutwambia nini? Kwamba hizi kesi zote za kijinga zinafunguliwa bila yeye kuwepo nchini? Kwa maana nyingine anakuwa hajui kinachoendelea? Kwa nini mtindo huo huo wa kufungua kesi wakati yeye hayupo hautumiki vile vile kwa kesi zenye masilahi kwa mafisadi? Na je tunaweza kusema huyo ni kiongozi imara ambaye akisafiri wasaidizi wake wanafanya madudu na yeye akirudi anakaa kimya? Mbona hawachukulii hatua?

Tusitetee ujinga hapa, huyu jamaa anaihaibisha taaluma ya sheria nchini kwa kukubali matakwa ya wanasiasa uchwara kama Mwigulu.

Tiba
 
Na Serikali sikivu ya CCM ikamtunuku Phd ya Sheria kutekeleza Big Results Now. Hakika huu ni udhalilishaji mwingine kwa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha DSM.

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),Dk.Eliezer Feleshi (kushoto), Dk.Zakayo Lukumai (Kulia) wakifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo (katikati), muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Juu ya Uzamivu (PhD). ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hivi karibuni.

PHD za kupeana
 
Tendwa hajatimuliwa mkuu. Amestaafu kwa umri (ingawa umri wake ni zaidi ya miaka 64), na mtaendelea kumlipa marupurupu kama sijakosea, 80% ya kipato cha jaji aliye kazini.

Kinachotakiwa ni kuweka utaratibu wa kuwafungulia mashtaka ya kuisababishia hasara serikali kwa uzembe, au kushindwa kumudu majukumu yao ili ikiwezekana waishie jela badala ya kuendelea kututafuna through marupurupu kama atakayopata Tendwa. Sioni kwa nini mtu kama Mwema naye baadaye tumhudumie kama IGP mstaafu badala ya kwenda jela.

Nafahamu hili ni gumu kwa sasa, lakini tukimuondoa huyu mkoloni CCM lazima tulipiganie, na tusiwe na suluhu kwenye hili.
 
Hehe..ukikimbiza mwehu alokuchukulia nguo we ndo utaonekana mwehu, sijui hata profession yako aise..sidhani kama ni sheria.

Hukumu ya jana imemvua nguo huyo ndugu yako. Kama kakutuma uje kumtetea hapa imekula kwako. Ametia aibu sana, hata BUSH LAWYER angemshinda huyu DPP katika ile kesi ya makada wa Chadema. DPP hajui maana ya ghaidi. PHD holder anaambiwa na Mwigulu Nchemba kafungue kesi ya ughaidi naye anakubali. Au vyeti vyake viliibiwa kwenye ile computer iliyoibiwa ofisini kwake?
 
Huu sio uthibitisho tosha kama hamiliki mali na vitu vingi vya thamani,yawezekana hii ikawa ZUGA tu..

Pia nikuulize ndugu;
  • Unajua nyumba zote anazomiliki ndugu Feleshi zaidi ya hii uliyoibandika?
  • Unajua anamiliki fedha kiasi gani benk za ndani na nje ya Tanzania?

Bila shaka, na inaskitisha sana kuona mtu akimchafua Feleshi kwa grounds izo, nadhani hata wanasheria wenzangu tunaofahamu uadilifu wa huyu jamaa na pamoja na mazingira magumu anayofanyia kazi bado ni mchapa kazi wa kuligia mfano aisee, na kwa viongozi waandamizi wa Serikali nadhani huyu atakuwa wa mwisho kumsema vibaya.
 
Unadhani kwa nini Dr. Hosea alipotakiwa na Dr. Feleshi wafanye mdaharo juu ya madai yake kwenye media aliogopa kama ni msafi na tuhuma zake ni za kweli??!!! Think big mkuu na jambo usolijua ni kama usiku wa giza.

Sina haja ya kufahamu ugomvi wa Dr.Hosea na huyo Felleshi,nachofahamu ni kwamba karibu kila kesi inayopelekwa na DPP,mahakamani anakula MWELEKA,tena Mahakama huwa inamkosoa kwa sababu genuine kabisa...kiukweli nina mashaka na hata na hicho cheti chake cha Uwakili
 
Feleshi hana kosa hata kidogo, he there to fulfill some missions..! Chezea kundi la walanguzi wewe..!

Kosa lake ni kukubali kutummiwa na hilo kundi la walanguzi unalosema na kudhalilisha taaluma yake!
 
Bila shaka, na inaskitisha sana kuona mtu akimchafua Feleshi kwa grounds izo, nadhani hata wanasheria wenzangu tunaofahamu uadilifu wa huyu jamaa na pamoja na mazingira magumu anayofanyia kazi bado ni mchapa kazi wa kuligia mfano aisee, na kwa viongozi waandamizi wa Serikali nadhani huyu atakuwa wa mwisho kumsema vibaya.

Naomba unielewe mkuu,
Nilichosema ni kwamba mtu kuishi nyumba ya kawaida,haimaanishi kwamba hamiliki nyumba zingine sehemu nyingine na kwamba hana mali zingine za thamani,na nikasema yaweza kuwa ni kuwadanganya umma tu...
 
Na Serikali sikivu ya CCM ikamtunuku Phd ya Sheria kutekeleza Big Results Now. Hakika huu ni udhalilishaji mwingine kwa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha DSM.

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),Dk.Eliezer Feleshi (kushoto), Dk.Zakayo Lukumai (Kulia) wakifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo (katikati), muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Juu ya Uzamivu (PhD). ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hivi karibuni.

Kama hata maana ya ugaidi hajui hiyo shahada ya uzamivu haimsaidii cho chote!
 
Hukumu ya jana imemvua nguo huyo ndugu yako. Kama kakutuma uje kumtetea hapa imekula kwako. Ametia aibu sana, hata BUSH LAWYER angemshinda huyu DPP katika ile kesi ya makada wa Chadema. DPP hajui maana ya ghaidi. PHD holder anaambiwa na Mwigulu Nchemba kafungue kesi ya ughaidi naye anakubali. Au vyeti vyake viliibiwa kwenye ile computer iliyoibiwa ofisini kwake?

Ninawasiwasi hata kama unafahamu taratibu za kufungua mashtaka mbalimbali, ungefahamu kuwa DPP ni taasisi usingekurupuka kuanika utupu wako kichwani hapa.
 
Mimi naona watu tunapenda kulaumu tu kwa vile tuna midomo na kukaa kubonyeza Keybody.
Kesi hazina ushahidi na kila DPP akitumbukiza Mahakimu na Majaji wanazikataa hata juzi Kesi ya Sugu na Pinda
Leo mnataka kila Kesi itumbukizwe wakati mnajua kuna Mawakili kazi yao ni kutafuta weak-point na kuisanbaratisha kesi nzima hata kwa doller
Simlaumu kabisa huyu jamaa.
 
Kumtetea Feleshi ni sawa na kupulizia pafyumu kinyesi....

Huyu MJOMBA wako ni janga la kidunia. Kama kweli ana uwezo na kazi yake angeshinda hata 10% ya kesi anazofungua, yeye kila siku ni chali mahakamani halafu wewe unamtetea kwa vile ni kabila lako. Tanzania ya sasa sio ya kuonana mafala, ---- ni wewe unayeleta utetezi bila DATA wakati rekodi ya huyo KILAZA Feleshi inajionyesha yenyewe. Wakili Nguli Tundu Lissu alishawahi kusema hakumbuki ni lini kesi zilizofunguliwa na huyu DPP ziliwahi kushinda mahakamani. Huyu Feleshi ni mzigo kwa taifa.

Bado siamini na nadhani nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila, chunga kauli zako, ni huyohuyo ndo Rais wa waendesha mashtaka Afrika na ni makamu kwa nchi za Jumuia ya madola, DPP Feleshi yuko smart sana upstairs mkuu sio kilaza.
 
Bila shaka, na inaskitisha sana kuona mtu akimchafua Feleshi kwa grounds izo, nadhani hata wanasheria wenzangu tunaofahamu uadilifu wa huyu jamaa na pamoja na mazingira magumu anayofanyia kazi bado ni mchapa kazi wa kuligia mfano aisee, na kwa viongozi waandamizi wa Serikali nadhani huyu atakuwa wa mwisho kumsema vibaya.

We jamaa tuondolee ushamba wako hapa, unaongelea UADILIFU wa Feleshi na kufanya kazi katika mazingira magumu, mazingira hayo magumu ni yepi? Kuambiwa na Mwigulu fungua shtaka la Ughaidi dhidi ya kila anayepingana na Mwigulu au??

Uadilifu wa Mwendesha mashtaka unaonekana kama atapeleka kesi mahakamani na akaibuka na ushindi, hakuna uadilifu mwingine. Kuvaa yale manguo yenu meusi sio uadilifu kama mnashindwa kesi kwa 95%, huo ni ujinga na kuchezea resources zetu. Huyu Feleshi ni janga la kidunia, hivi kwa mfano hawa mnaowabambikia kesi za kijinga kama hizo wakiamua kudai fidia kwa defamation of character mnazo hela za kuwalipa. Huyu Feleshi hana tofauti na BUSH LAWYERS tu...
 
Ninawasiwasi hata kama unafahamu taratibu za kufungua mashtaka mbalimbali, ungefahamu kuwa DPP ni taasisi usingekurupuka kuanika utupu wako kichwani hapa.
Labda mkubaliane tu kuwa hii ni taasisi ambayo ni dysfunctional.
 
Bado siamini na nadhani nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila, chunga kauli zako, ni huyohuyo ndo Rais wa waendesha mashtaka Afrika na ni makamu kwa nchi za Jumuia ya madola, DPP Feleshi yuko smart sana upstairs mkuu sio kilaza.

Sasa CHADEMA imeingiaje tena hapa mkuu?..jibu hoja na punguza jazba!
 
Ukabila unauendeleza wewe kwa kutetea jitu li-kilaza kama Feleshi kisa tu mnatoka sehemu moja. Hauna ground nyingine ya kumtetea Feleshi kwa kuwa rekodi yake inajieleza yenyewe, nayo ni kushindwa 95% ya kesi alizopeleka mahakamani. Juzi aliitisha semina ya wanasheria Dodoma kujadili kwa nini wanashindwa kesi kila wakitinga mahakamani. Hivyo vyeo vya kupeana hata Dr Hosea ni kiongozi wa wapambanaji wa Rushwa kwa ngazi ya dunia lakini hapa nchini rushwa imetamalaki kila kona. Eliezer Feleshi ni janga la kidunia, heri hata Doctor Remmy Ongala alikuwa na justification ya PHD aliyojipa kwa kutoa burudani safi, huyu ndugu yako sijui anajustify vipi PHD yake. Hivi hata akifa atampunguzia nani midhambi hii ya kubambikia watu kesi isiyodhambika???
 
We jamaa tuondolee ushamba wako hapa, unaongelea UADILIFU wa Feleshi na kufanya kazi katika mazingira magumu, mazingira hayo magumu ni yepi? Kuambiwa na Mwigulu fungua shtaka la Ughaidi dhidi ya kila anayepingana na Mwigulu au??

Uadilifu wa Mwendesha mashtaka unaonekana kama atapeleka kesi mahakamani na akaibuka na ushindi, hakuna uadilifu mwingine. Kuvaa yale manguo yenu meusi sio uadilifu kama mnashindwa kesi kwa 95%, huo ni ujinga na kuchezea resources zetu. Huyu Feleshi ni janga la kidunia, hivi kwa mfano hawa mnaowabambikia kesi za kijinga kama hizo wakiamua kudai fidia kwa defamation of character mnazo hela za kuwalipa. Huyu Feleshi hana tofauti na BUSH LAWYERS tu...

Unatoa sana povu mkuu..tembelea sukari house for consultation.
 
Sasa CHADEMA imeingiaje tena hapa mkuu?..jibu hoja na punguza jazba!

Huyu jamaa anatumia mbinu ile ya CCM kuwa kila kitu kibaya kikiwakuta ni CHADEMA wanahusika. Hata hapa Feleshi anashindwa kila akifungua kesi wanataka kuisingizia CHADEMA....

Jaji wa Tabora kamvua nguo feleshi hapa
Katika uamuzi wake, Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Simon Lukelelwa, aliwaonya waendesha mashtaka kuacha tabia ya kutumia maneno makali ya ugaidi katika kesi za jinai, hatua aliyosema inaogofya wageni wanaotarajia kuja Tanzania.

"Suala hili la ugaidi kwa siku za hivi karibuni limeshika kasi, linazungumzwa kwa mapana ndani na nje ya nchi, lakini inavyoonyesha mazungumzo hayo hayajaeleweka undani wa madhara yake. Nchi ikiwa imekithiri kwa ugaidi kama inavyodaiwa vitu vingi vingeathirika, uchumi, utalii na mambo mengine.
"Ni vizuri mambo haya yakapewa nafasi yake na kwa umakini mkubwa, yasije yakaleta madhara kwa nchi pasipo ulazima wowote. Hata neno ugaidi tafsiri yake haijajulikana vizuri, kila mtu anatafsiri zake. Mtu unayemuona ni gaidi, anaweza kuwa mpigania uhuru kwa mwingine," alisema Jaji Lukelelwa.
 
Back
Top Bottom