Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mussa alipata safar ya kwenda ng'ambo itakayomchukua miaka 10 mpaka kurud,akaamua kumfunga mkewe sehem za siri kwa kufuli la chuma na kumuachia ufunguo rafik yake aitwae Eliah na akamwambia, kama miaka 10 itapita sijarudi utamfungua mke wangu na kuwa huru.. Mussa akaianza safar Kabla Hajafika kilomita nyingi mara nyuma anaona vumbi kali kugeuka nyuma ni rafik yake Eliah akija speed, Mussa akamuuliza kulikon? Eliah akajibu mbona ufunguo sio wenyewe?
mussa akazimia
mussa akazimia