Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,735 Reaction score 7,010 Nov 29, 2012 #1 1.alikwenda kwa mjomba 2.ninakula kwa kijiko 3.amefungwa kwa wizi wa baiskeli 4.anakwenda shuleni kwa miguu 5.amenunua vitabu kwa bei ya juu (msada tafadhali)
1.alikwenda kwa mjomba 2.ninakula kwa kijiko 3.amefungwa kwa wizi wa baiskeli 4.anakwenda shuleni kwa miguu 5.amenunua vitabu kwa bei ya juu (msada tafadhali)
A akamowi Member Joined Apr 3, 2011 Posts 12 Reaction score 0 Nov 30, 2012 #2 Mi naona Kwa zote zimetumika kama KIHUSISHI katika sentensi hizo na sio kiunganishi
Z Zedikaya Senior Member Joined Aug 10, 2011 Posts 119 Reaction score 14 Nov 30, 2012 #3 Ngoja wenyewe waje ila hapo kwa kila sentensi kwa ina matumizi yake tofauti,