NdioooUmefunga kwani?
Ni nzuri sana kiafyaNdiooo
Vijana tusome kwa sauti ya pamoja tena kwa nguvu sana kisha tuelewe na tuishi na hili tena kwa usirous mnowoman's mind has no room for sympathy. If you're a man who struggling financially she will not even look your way, unless she assess that your struggle is temporary. She can hang in there with you, it's because she calculate the potential. Although, she can leave if she see no progress.
Hayo kwakweli ni sensitive sana mm mwenyew sielew mjukuu wa clemence mwandambo 😂Hayo yanavumilika , ila matatizo mengi ya ndoa na mahusiano ni usaliti na pesa ndio tatizo kuu
Usi chezee simu ya mganga, uta delete mizimuTunaonewa sana.
Wew ni mganga au ndio mzimu?Usi chezee simu ya mganga, uta delete mizimu
Mi ni mjegejo tuWew ni mganga au ndio mzimu?
Nafikiri kwenye mahusiano na maisha kiujumla hata wanaume mnahitaji sana kuwa elevated. Unaanza mahusiano na binti, anakuhamasisha kununua kiwanja, kufanya biashara, kuwekeza na ni kimbilio lako wakati hata una stress za kazi. Binti anaplay role yake vizuri. Shida wanaume wachoyo mnaangalia sana hela ila. Ukiombwa hela unaona kama unataka kutolewa roho. Nyie mambo pia sio mepesi kama huna hata wa kumwambia siku yako ilivyokua mbaya. Ukisikia wanaume wanakufa haraka ndio mambo hizo. Wacha nikazogoe na sweetlady mie
Ndio siasa zenu hizo. Umkute mwanaume ana uelekeo wa kimaisha halafu umuamasishe kununua kiwanja.! Huo ushauri mbona haujautumia wewe mwenyewe binafsi. Mikakati ya kununua kiwanja unayompa mwanaume kwanini usiitumie wewe kununua kiwanja chako? yaani mwanaume ashasimama kimaisha halafu aje kupewa muongozo na mwanamke ambaye hata kujitimizia mahitaji yake kikamilifu tu hawezi anategemea mwanaume ampunguzie mzigo in the name of kuhudumiwa/matunzo.Nafikiri kwenye mahusiano na maisha kiujumla hata wanaume mnahitaji sana kuwa elevated. Unaanza mahusiano na binti, anakuhamasisha kununua kiwanja, kufanya biashara, kuwekeza na ni kimbilio lako wakati hata una stress za kazi. Binti anaplay role yake vizuri. Shida wanaume wachoyo mnaangalia sana hela ila. Ukiombwa hela unaona kama unataka kutolewa roho. Nyie mambo pia sio mepesi kama huna hata wa kumwambia siku yako ilivyokua mbaya. Ukisikia wanaume wanakufa haraka ndio mambo hizo. Wacha nikazogoe na sweetlady mie
Pure love ya mwanamke ni kwa mtoto na mzazi wake. Huku kwenye mahusiano wapo kimkakati zaidi. Usije ukadanganyika na jinsi wanavhojifanya innocent, nawe uka-sacrifice kila kitu kwa shemeji ukijua unapendwa. Protect your peace, plans and resources.Siku zote nasema, vilio vingi vya wanaume humu jf vinaanzia hapa Aaliyyah
Hao ambao hawawezi kujitimizia mahitaji yao mnawatoa wapi? Wao ndio wanawatongoza? Wanawalazimisha mahusiano?. Ukiona mwanamke hajiwezi unamtongoza wa nini? Sie wenyewe hatuwakubali wasiojiweza vile vile. LohNdio siasa zenu hizo. Umkute mwanaume ana uelekeo wa kimaisha halafu umuamasishe kununua kiwanja.! Huo ushauri mbona haujautumia wewe mwenyewe binafsi. Mikakati ya kununua kiwanja unayompa mwanaume kwanini usiitumie wewe kununua kiwanja chako? yaani mwanaume ashasimama kimaisha halafu aje kupewa muongozo na mwanamke ambaye hata kujitimizia mahitaji yake kikamilifu tu hawezi anategemea mwanaume ampunguzie mzigo in the name of kuhudumiwa/matunzo.
Taasisi ambayo ipo serious haiwezi kuajiri kwa kigezo cha kuweka uwiano wa namba kijinsia, isipokua zitaangaliwa qualifications za applicants.Hizo intangible ndio uhalisia wetu. Wanawake wengi wana mazingira magumu kutengeneza connections sio kama wanaume. Wengi kwanza wakitoka kazini wanawaza kuwahi familia na kuendelea na majukumu ya kinyumbani. Nafikiri pia ni taasisi chache zimeweza kuweka usawa wa kijinsia kwa waajiriwa wao ila wengi hata maofisini wanaume ni wengi kuliko wanawake. Bado tuna safari ndefu kiasi kutengeneza fursa za ajira, biashara na elimu ili kuweza kufikia huu usawa kiasi kwamba tulinganishe mali wanazochuma mwanamke na mwanaume katika familia.
Kabla ya kuoa ndio wakati mahususi wa mwanaume kujenga msingi wa mafanikio. Maana akishaoa kuna uhuru ataukosa. Kuna risk atashindwa kuzifanya kwa sababu ya familia maana dili likibuma anaanguka na familia tofauti na akiwa peke ake ataanguka peke ake ataanza upya.Kuna mafanikio mengine yanakuja baada ya kuoa so kadri unavyochelewa kuoa ndipo unaposogeza mbele mafanikio yako. Cha msingi upate mwenza sahihi.
Huo usawa wa kazini unaweza kuwa nje ya hizo qualifications. Bado kuna nadharia ya kusema kazi flani haziwezi fanywa na wanawake hivo hata wawe na qualifications hawatopewa. Sehemu zingine wanatka wakimwambia staff kesho safari basi ni chap sasa utapata picha watapenda ajiri ke au me hapo.Taasisi ambayo ipo serious haiwezi kuajiri kwa kigezo cha kuweka uwiano wa namba kijinsia, isipokua zitaangaliwa qualifications za applicants.
Kwaiyo kama namba ya wanawake ipo chini maana yake wengi wao hawana qualifications zinazohitajika. Tukitaka kulazimisha mzani uwe sawa hapo maana yake itabidi tulegeze qualifications upande wa wanawake. Hiyo itakua sio gender equality tena, isipokua ni gender favouritism.
Suala la mwenza sahihi ni fairytale tu. Kilichobaki sasa hivi kila mmoja aingie kwenye ndoa/mahusiano kimkakati, sio haya masuala ya wanaume kutakiwa kuwekeza mali na hela kwenye ndoa, halafu mwanamke anapewa upenyo wa kuondoka na mzigo muda wowote atakapoamuaMwenza sahihi sio rahisi kumpata kama unavyofikiri, nchini nzima na dunia nzima inaonekana wamebaki 20 tu, yani awe ana mzuri na mvuto na tabia zake uzipende pia 🤔
Hao vijana wana-deal nao kwa kanuni ya hit and run. Ndio hawa masingle mother waliotapakaa mtaaniHao ambao hawawezi kujitimizia mahitaji yao mnawatoa wapi? Wao ndio wanawatongoza? Wanawalazimisha mahusiano?. Ukiona mwanamke hajiwezi unamtongoza wa nini? Sie wenyewe hatuwakubali wasiojiweza vile vile. Loh
Ndio qualifications zenyewe hizo. Qualifications sio GPA ya kwenye cheti tu hata sharpness na physicality ni qualifications pia.Huo usawa wa kazini unaweza kuwa nje ya hizo qualifications. Bado kuna nadharia ya kusema kazi flani haziwezi fanywa na wanawake hivo hata wawe na qualifications hawatopewa. Sehemu zingine wanatka wakimwambia staff kesho safari basi ni chap sasa utapata picha watapenda ajiri ke au me hapo.