Uhakika💪Sijapata neno moja la kiswahili linaweza kuwa na maana mahususi ya neno "elevation". Kwa kingereza tunaweza tukasema "being raised to the higher or more important level or position". Kwa lugha yetu tunaweza kusema kupandishwa kwenda kwenye nafasi ya juu au ya muhimu zaidi.
Elevation, ni moja kati ya neno muhimu sana unatakiwa kuliweka akilini kama unataka kuelewa jinsi mchezo wa mahusiano unavyo-operate. Kupuuzia "elevation" kunawafanya wanaume wengi sana wapigwe na butwaa.
Sasa nataka nikwambie kitu kimoja. Akili ya mwanamke ina neno moja tu - elevation. Utakapoonyesha interest ya kumtaka tayari atakua ashapiga hesabu kama una uwezo wa ku-elevate maisha yake. Kwa mwanamke mahusiano sio feelings exchange tu, ni elevation pia.
Ulikua haujui? Ukifikiri upendo wa mwanamke ni unconditional? Nani alikufundisha hivyo? Kiongozi wako wa dini?. That's the problem, you like listening to fairy stories.
Upendo wa mwanamke kwenye sekta ya mahusiano ni conditional. Labda kama unataka urafiki wa kawaida tu, that can work without conditions.
A woman's mind has no room for sympathy. If you're a man who struggling financially she will not even look your way, unless she assess that your struggle is temporary. She can hang in there with you, it's because she calculate the potential. Although, she can leave if she see no progress.
Tatizo wengi tangu mkiwa wadogo mmekalilishwa blah blah za pure love, sijui soul mates na upumbavu mwingine. Kijana hakuna upuuzi kama huo. Adults love with strategy, not fantasy.
If a woman love with calculated steps, you too should do the same. If she has nothing: no skills, no job, no money, no business, no connections, leave her. A woman cannot tolerate a liability, why should you tolerate it in her.
Don’t be a simp.
Nishakuwa mkubwa, shida audacity!It’s valid.. Sababu mwanamke usipokuwa elevated na mwanaume jua kwenye hilo game wewe umelost!
Wanawake tunajenga familia, don’t you think we deserve some elevation huh. 🤔
Siku tukijua ndoa/mahusiano yanamfaidisha zaidi mwanaume wanawake tutazidisha maringo.
wanawake ni wabinafs, na wanadai 50 kwa 50, haki sawa.
FACT tupu ✍🏽Sijapata neno moja la kiswahili linaweza kuwa na maana mahususi ya neno "elevation". Kwa kingereza tunaweza tukasema "being raised to the higher or more important level or position". Kwa lugha yetu tunaweza kusema kupandishwa kwenda kwenye nafasi ya juu au ya muhimu zaidi.
Elevation, ni moja kati ya neno muhimu sana unatakiwa kuliweka akilini kama unataka kuelewa jinsi mchezo wa mahusiano unavyo-operate. Kupuuzia "elevation" kunawafanya wanaume wengi sana wapigwe na butwaa.
Sasa nataka nikwambie kitu kimoja. Akili ya mwanamke ina neno moja tu - elevation. Utakapoonyesha interest ya kumtaka tayari atakua ashapiga hesabu kama una uwezo wa ku-elevate maisha yake. Kwa mwanamke mahusiano sio feelings exchange tu, ni elevation pia.
Ulikua haujui? Ukifikiri upendo wa mwanamke ni unconditional? Nani alikufundisha hivyo? Kiongozi wako wa dini?. That's the problem, you like listening to fairy stories.
Upendo wa mwanamke kwenye sekta ya mahusiano ni conditional. Labda kama unataka urafiki wa kawaida tu, that can work without conditions.
A woman's mind has no room for sympathy. If you're a man who struggling financially she will not even look your way, unless she assess that your struggle is temporary. She can hang in there with you, it's because she calculate the potential. Although, she can leave if she see no progress.
Tatizo wengi tangu mkiwa wadogo mmekalilishwa blah blah za pure love, sijui soul mates na upumbavu mwingine. Kijana hakuna upuuzi kama huo. Adults love with strategy, not fantasy.
If a woman love with calculated steps, you too should do the same. If she has nothing: no skills, no job, no money, no business, no connections, leave her. A woman cannot tolerate a liability, why should you tolerate it in her.
Don’t be a simp
Huwa unajadili mambo from the mouth of which river? Unajua kuwa kwa 80% wanawake hatutongozi? So now tell me ni kwanini mtu umtake mwenyewe halafu ulalamike unayoyalalamikia hapa.Hiyo compensation ni reciprocal? yaani hela kwa hela, kikojolea kwa kikojolea au ndio ule ujanja janja wenu wa kutaka mwanaume aweke hela halafu nyie muweke maombi.
Wanawake huwa mnataka mwanaume aje kwenye mahusiano na tangiable value kama hela, assets, stability n.k, mkiulizwa nyie mnaleta nini mezani mnataja intangible values kama sala, ushauri, peace of mind n.k
Hapo sasa linaibuka swali. Mwanaume ambae ameshasimama kiuchumi anahitaji sala au muongozo wa mwanamke?
Utalia ! 🤣Nishakuwa mkubwa, shida audacity!
binti kiziwi unatoaga wapi haya madini?Huwa unajadili mambo from the mouth of which river? Unajua kuwa kwa 80% wanawake hatutongozi? So now tell me ni kwanini mtu umtake mwenyewe halafu ulalamike unayoyalalamikia hapa.
Ngoja nikupe siri, Men likija suala la long-term relationship are always intentional, Kama yeye ana asset na chochote alichonacho anavyoamua kuwa na mwanamke wa aina fulani kuna vitu anakuwa ameshavutiwa navyo kwa mhusika, wanaume hawachukui wanawake kwa HURUMA wanachukua wanawake wakiwa wanajua exactly watanufaika na nini kutoka kwa huyo mwanamke, Hiko anachonufaika nacho ndicho lazima akifanyie compensation , ambapo kwa hapa ni “Elevetion”.
Soma mtirirko wa mada yako mwenyewe na replies halafu jibu accordingly, unaleta mkusanyiko wa mambo mengi katika kitu kimoja.
Haaaaa kidogo tu….binti kiziwi unatoaga wapi haya madini?
Wantam🤣Utalia ! 🤣
Kasongo!Wantam🤣
Ukute binti kiziwi ni dingi mwenye ndevu, so lazima awe vizuri kichwani😂😁binti kiziwi unatoaga wapi haya madini?
Adhabu yako ukija kuoa kwetu tutakunyima chakula!Ukute binti kiziwi ni dingi mwenye ndevu, so lazima awe vizuri kichwani😂😁
Hapo sawa.nimeingia darasani kusoma kuhusu feminism
shida uli kazania viporo, flat tummy ikaondoka.Kasongo!
Lakini shemeji… inbox mbona huwa unanikazia sana hapa unajifanya unanipenda? 😂 (nimetoa siri)
usi jaribu, maana kita kulamba!Adhabu yako ukija kuoa kwetu tutakunyima chakula!
You nailed iitSijapata neno moja la kiswahili linaweza kuwa na maana mahususi ya neno "elevation". Kwa kingereza tunaweza tukasema "being raised to the higher or more important level or position". Kwa lugha yetu tunaweza kusema kupandishwa kwenda kwenye nafasi ya juu au ya muhimu zaidi.
Elevation, ni moja kati ya neno muhimu sana unatakiwa kuliweka akilini kama unataka kuelewa jinsi mchezo wa mahusiano unavyo-operate. Kupuuzia "elevation" kunawafanya wanaume wengi sana wapigwe na butwaa.
Sasa nataka nikwambie kitu kimoja. Akili ya mwanamke ina neno moja tu - elevation. Utakapoonyesha interest ya kumtaka tayari atakua ashapiga hesabu kama una uwezo wa ku-elevate maisha yake. Kwa mwanamke mahusiano sio feelings exchange tu, ni elevation pia.
Ulikua haujui? Ukifikiri upendo wa mwanamke ni unconditional? Nani alikufundisha hivyo? Kiongozi wako wa dini?. That's the problem, you like listening to fairy stories.
Upendo wa mwanamke kwenye sekta ya mahusiano ni conditional. Labda kama unataka urafiki wa kawaida tu, that can work without conditions.
A woman's mind has no room for sympathy. If you're a man who struggling financially she will not even look your way, unless she assess that your struggle is temporary. She can hang in there with you, it's because she calculate the potential. Although, she can leave if she see no progress.
Tatizo wengi tangu mkiwa wadogo mmekalilishwa blah blah za pure love, sijui soul mates na upumbavu mwingine. Kijana hakuna upuuzi kama huo. Adults love with strategy, not fantasy.
If a woman love with calculated steps, you too should do the same. If she has nothing: no skills, no job, no money, no business, no connections, leave her. A woman cannot tolerate a liability, why should you tolerate it in her.
Don’t be a simp.
Intelligent businessman kasema eti mi mbabu 🤣 Nimelia sana ujue!Hapo sawa.
Huwa unajibu hizi mada kwa utulivu, sijawahi ona ukipoteza "composure".
Wenzako wakipewa kashfa kidogo tu mfano; "bikra ni lazima!" wanalipuka wanaanza kutoa mipasho.
Basi nikawa najiuliza mbona B.K hana mihemko kama KE wenzake, au ni ME mwenye ID ya kike?😃
Dahh 😄Subiri strong and independent women uchwara waje hapa kujipa haki ya kula hela ya mwanaume ambayo hawajashiriki kuitafuta. Unaweza ukafikiri ni watoto yatima au hawana miguu na mikono kuweza kufanya kazi.