Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Mkuu kama bungeni bado kura zinapigwa kwa kunyoosha vidole, utafikiri mnachagua monitor shule ya msingi.................. Do you really think hao wazee wanaona hata umuhimu wa electronic voting????????????
ITS TIME NOW OUR NEC GO ELECTRONIC .......IF NOT THIS 2010 AT LEAST THE NEXT ELECTION WE MUST FIGHT FOR ELECTRONIC VOTE REGISTRATION AND LATER VOTING..TUACHENI USHAMBA.....AU WANAFANYA MAKUSUDI ...ILI WAWEZE KUIBA KURA???
diii nimekusoma ..lakini kwa kenya ishu ya umeme ni kama hapa tu...nchi nyingi za ukanda huu zinafanana......coverage ya umeme by percentage haitofautiani sana na Tanzana....hata mjini nairobi kuna sehemu hasa sqouters hakuna umeme .........shirika lao la umeme lina nguvu kuliko letu...lakini linajiendesha kibiashara ....hivyo maeneo ya pembezoni pia kwao hakuna umeme .....ila tofauti ni kuwa maeneo yote yenye fursa ya kiuchumi basi KPLC wamepeleka umeme .......
walichofanya hawa KENYA ni kuwa maeneo yasiyo na umeme wametumia alternative energy kutuma matokeo....nadhani muhimu hapo ni kuwa na centre angalau kila kata ambako matokeo yanaweza kutumwa makao makuu kwa kutumia mtandao wa compyuta...na baadaye wanatuma manual paper haraka kwa ajili ya udhibitisho ...kumbukeni kuwa siku hizi wireless coverage imeenea nchi nzima .......unaweza kutumia vodacom ,ttcl,celtel modems etc...
Mkuu PM, sidhani kama hili ni swala la ushamba au umjini. Kwani consideration ya kwanza kabla ya ku-implement kitu kama hiki ni kuhakikisha nchi nzima ina umeme wa uhakika. Unless unaongelea kuwepo kwa electronic voting system kwa baadhi ya majimbo tu na siyo Kitaifa.
Ya kutilia mkazo kulitangulia swala hili ni:
--- Umeme: bila umeme kuwa wa uhakika nchini mwetu, hatuchelewi kusikia umeme umekatika siku nzima kwenye majimbo yaliyo stronghold kwa wapinzani siku ya uchaguzi.
--- Zip Code/Post Code: bila hili tutaendelea kupiga kwata hapa hapa tulipo... kila linapojitokeza swala linalohitaji vitu hivi kama kirahisho cha jambo hilo kufanyika, haswa pale tunapotaka lifanyike kama kwa wenzetu waliotutangulia kimaendeleo. Yaani tumeshindwa hata kufanya pilot scheme kwa sehemu zilizo kaa kimpangilio kama Oysterbay, Masaki, Mikocheni, Kariakoo, na baadhi ya maeneo ya Mbeya, Mwanza, Iringa na Tanga. (Nilichowahi sikia ni kwamba tungelikuwa na zip codes tayari kwa dar, ila kuna mtu wakati huo hawakukubali kumkatia 10% yake hivyo tenda yote ikapigwa chini, mithili ya yale tuliyosikia kuhusiana na ATCL vs Wachina!!)
--- Miji kupangika: Dar imekaa shaghalabaghala mpaka inatia kinyaa!!! Matokeo yake tunajikuta tunaleta mipango ya dharura yenye gharama ili kukabiliana na mapungufu/uzembe uliofanyika, kama vile ku-register simu za mikoni na kutaka kuleta vitambulisho vya kiraia. Mambo ambayo kama miji na vijiji vyetu vingelikuwa vimepangika na wapanga miji na halimashauri husika kufanya kazi zao pale utaratibu unapokiukwa, basi kuandikisha simu au kuwa na vitambulisho yangelikuwa mambo ya ziada na si ya kulazimishana.
Steve Dii
Steve Dii, beleive it or not ipo solution ya hii electronic voting system and it is quite fool proof, na pale ambapo hakua umeme the voting unit inaweza chajiwa na betri ya gari fasta! At the end of the voting process unit inatoa hesabu palepale na haifutiki kwenye chip yake kwa muda wa miezi 6! This unit is currently being used in India and other south east Asian countries.
Nilikwenda NEC 2 years before kuangalia kama wataweza kuinstall hii kitu lakini jibu nililopata eti ni too close to uchagusi na eti ni nani mwingine anayetumia hii Africa? Jibu ni India huko wanatumia, wakasema thats not good enough, na sababu nyingine nyiiiingi, umeme, mara vyama vitakataa, hatuna uhakika kama kweli ni tamper proof etc (hapa nikawaomba tujaribu kwenye ile chaguzi ndogo ya madiwani nafikiri ambayo haitkei wakati mmoja na uchaguzi mkuu lakini walikataa kwani nanai atailipia hayo majaribio etc. Nikataka nilipie mimi lakini nikaona itakula kwangu kama hawataichukua!!)
Hii solution is perfect, I tell you for countries like ours! Big ups to Kenya kama waliitumia manake haiongopi hata kidogo!!
ITS TIME NOW OUR NEC GO ELECTRONIC .......IF NOT THIS 2010 AT LEAST THE NEXT ELECTION WE MUST FIGHT FOR ELECTRONIC VOTE REGISTRATION AND LATER VOTING..TUACHENI USHAMBA.....AU WANAFANYA MAKUSUDI ...ILI WAWEZE KUIBA KURA???
Sikiliza, maana wewe ni mmoja wa watu wasioitakia mema nchi yetu. Huna upendo kwa viongozi wako.
Mara nyingi tunamaliza kupiga kura jioni ya saa 12. Hapo sasa tunaanza kukusanya ma-box ya kura kwa kutumia watumishi maalumu wakisindikizwa na askari waliopewa maelezo maalumu kutoka vijijini kuja wilayani kwenye kumbi za kuhesabia kura, ndo tunapata nafasi ya kubadilisha au kuweka kura ili wapendwa viongozi wetu wasiangushwe na maadui wa maendeleo yetu.
Hiyo ya elektroniki ni mbaya saaana! maana inatoa matokea kwa haraka lakini yasiyozingatia uzalendo kwa viongozi wetu.
Najua unaweza ukalazimisha mbinu hiyo lakini najua tu. mukilazimisha au mukituletea kwa tishio la wafadhili, tutatumia shu-shu-shu wetu ili kuvuruga mitambo maana nasikia huko Kenya wametumia GSM system.

I am watching live as the elections returns are announced and being desplayed on The television and other journalist..its is the first time in East Africa that a country is using these degital or electronic voting system ...it seems that the sytem is encouraging and it minimise riggin in comparison to the accient manual voting which we Tanzanias are expected to use this year...
With these technological development i expected our National election commission should have considered using these form of voting in this election......if we want the world to respect our democracy .....we are all witness to what has been happening in our country with the size ...its shame that sometimes it takes up to seven days just to compile results which would have been posted live at returning headqouters in dar es salaam as journalists and monitors watch live on the NEC screens......technology!! technology!!!....minimize paper work.....cos what i see here is just very proffessional ....results are posted live from voting centres and everybody see them [provisional results].....tallying officials will have to compare with signed forms which later will be submitted manual and compare with the degital result posted ...later they will compile and simply election commission chairman ,will officially declare the winner.....posibility for riggin is at very minimal...........