kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,185
- 24,565
i am a devil who live as a humanMkuu, mbona Avatar yako imetisha hv...!!!

Soma paragraph ya kwanza mpaka mwisho, usiwe unakurupuka kama vile umesokomezewa kitu chenye ncha kali katikati ya masabuli yako au unawashwa?umeajuaje alieyeandikanai Mkristo....na unajuaje kila Mkristo ana fikra ndogo kama wewe?
Hata jf nayo ni mfumo wakishetanElectronic money system kama mobile money transfer,simbanking na nyinginezo ambazo zimegeuza mfumo wa pesa kutoka kwenye makaratasi mpaka kuwa interm of electronic digits ni moja ya mafanikio ya mfumo wa kishetani ambao mastermind wake ni waisrael under Dajjal (Anti-christ).
Kwanini ni mfumo wa kishetani??!
Kama inavyoeleweka katika zama za mwisho za dunia mpinga kristo na wafuasi wake wana nia ya kuicontrol dunia na moja kati ya njia za kucontrol watu ni kucontrol mfumo wa kipesa.
Jinsi gani wanaeza kucontrol mfumo wa pesa?!
Itafika kipindi hakuna mtu ambae atakua na pesa za makaratasi kama tulivyozoea,kila mmoja wetu atakua na pesa zake zimehifadhiwa katika mfumo wa kielectronic yani mfano katika mpx nk na pia katika manunuzi watu wataacha kutumia pesa za makaratasi watu watakua ni mwendo wa kuswap na kutransfer electronically..Nadhani hili linaeza kuthibitika sasa hivi kwani mtu unaeza kufanya mauzo na manunuzi bila kushika pesa physically.
Sasa time yao iyapofika watazima electronic system za eneo watalopenda chukulia mfano network ikisumbua mtu anavyohangaika kutoa pesa akale na hakuna mgahawa unaokuruhusu kula eti useme pesa unaleta baadae.
Na hivyo ndio utakua mwanzo wako wa kuwasujudia kwani hutaeza kuuuza au kununua mpaka waamue wao kwani hakutakua na pepa money.
Hii inaeza kuonekana kama ni technological advancement ila ukweli hilo ni tundu la nyuki linalotengenezwa na waisrael na kijana wao ataejitoleza zama za mwisho(Hizi tulizonazo sasa kutuangamiza)
Wake up israelian are not human
Andiko lako ni la kimasalia na ni ujinga mtupu.. Mbaya zaidi unawajengea watu hofu za kijinga kwa awkward assumptions.. Mungu kamjalia mwanadamu akili aitumie na imsaidie na vyote ni kumrahisishia mwanadamu kufanya mambo.. Na nyakati hizi ndio uvumbuzi mpya maana mengine ni hisyoria.... Na haya unayoyaona ni mambo ya namba tu.. Algebra na arithmetics ambazo zilikuwepo hata kabla ya Yesu.. Nenda shule na kama unatumia biblia usiisome na kuielewa kama unavyotaka bali umuombe Roho Mtakatifu akufunulie maana ya neno na application yake.. Unayoyapost hapa unamkufuru Mungu..Electronic money system kama mobile money transfer,simbanking na nyinginezo ambazo zimegeuza mfumo wa pesa kutoka kwenye makaratasi mpaka kuwa interm of electronic digits ni moja ya mafanikio ya mfumo wa kishetani ambao mastermind wake ni waisrael under Dajjal (Anti-christ).
Kwanini ni mfumo wa kishetani??!
Kama inavyoeleweka katika zama za mwisho za dunia mpinga kristo na wafuasi wake wana nia ya kuicontrol dunia na moja kati ya njia za kucontrol watu ni kucontrol mfumo wa kipesa.
Jinsi gani wanaeza kucontrol mfumo wa pesa?!
Itafika kipindi hakuna mtu ambae atakua na pesa za makaratasi kama tulivyozoea,kila mmoja wetu atakua na pesa zake zimehifadhiwa katika mfumo wa kielectronic yani mfano katika mpx nk na pia katika manunuzi watu wataacha kutumia pesa za makaratasi watu watakua ni mwendo wa kuswap na kutransfer electronically..Nadhani hili linaeza kuthibitika sasa hivi kwani mtu unaeza kufanya mauzo na manunuzi bila kushika pesa physically.
Sasa time yao iyapofika watazima electronic system za eneo watalopenda chukulia mfano network ikisumbua mtu anavyohangaika kutoa pesa akale na hakuna mgahawa unaokuruhusu kula eti useme pesa unaleta baadae.
Na hivyo ndio utakua mwanzo wako wa kuwasujudia kwani hutaeza kuuuza au kununua mpaka waamue wao kwani hakutakua na pepa money.
Hii inaeza kuonekana kama ni technological advancement ila ukweli hilo ni tundu la nyuki linalotengenezwa na waisrael na kijana wao ataejitoleza zama za mwisho(Hizi tulizonazo sasa kutuangamiza)
Wake up israelian are not human
Kwanza kilicho muhimu hapo ni huyo dijjal yuko vipi tupe sifa zake na Aya za kimaandiko lete hapa. Ili tuanze,kumjadili hili tujie unachotaka kutuaminisha ni kweli au la!Wenzetu waliisha achana na mfumo wa kutembea na maburungutu ya pesa wewe unataka turudi huko! Huko ni Misri sisi tupo njiani kwenda nchi ya Kanaani ambayo ndo hiyo unaiponda.
Hizi idea hua zipo AFRICA tu...Electronic money system kama mobile money transfer,simbanking na nyinginezo ambazo zimegeuza mfumo wa pesa kutoka kwenye makaratasi mpaka kuwa interm of electronic digits ni moja ya mafanikio ya mfumo wa kishetani ambao mastermind wake ni waisrael under Dajjal (Anti-christ).
Kwanini ni mfumo wa kishetani??!
Kama inavyoeleweka katika zama za mwisho za dunia mpinga kristo na wafuasi wake wana nia ya kuicontrol dunia na moja kati ya njia za kucontrol watu ni kucontrol mfumo wa kipesa.
Jinsi gani wanaeza kucontrol mfumo wa pesa?!
Itafika kipindi hakuna mtu ambae atakua na pesa za makaratasi kama tulivyozoea,kila mmoja wetu atakua na pesa zake zimehifadhiwa katika mfumo wa kielectronic yani mfano katika mpx nk na pia katika manunuzi watu wataacha kutumia pesa za makaratasi watu watakua ni mwendo wa kuswap na kutransfer electronically..Nadhani hili linaeza kuthibitika sasa hivi kwani mtu unaeza kufanya mauzo na manunuzi bila kushika pesa physically.
Sasa time yao iyapofika watazima electronic system za eneo watalopenda chukulia mfano network ikisumbua mtu anavyohangaika kutoa pesa akale na hakuna mgahawa unaokuruhusu kula eti useme pesa unaleta baadae.
Na hivyo ndio utakua mwanzo wako wa kuwasujudia kwani hutaeza kuuuza au kununua mpaka waamue wao kwani hakutakua na pepa money.
Hii inaeza kuonekana kama ni technological advancement ila ukweli hilo ni tundu la nyuki linalotengenezwa na waisrael na kijana wao ataejitoleza zama za mwisho(Hizi tulizonazo sasa kutuangamiza)
Wake up israelian are not human
Ila sio israel hii ya huku dunianIsrael nchi ya ahadi.....we christian bealive that
😀😀😀Huyu jamaa atakuwa ni mwizi kaona miaka hii anapata hasara watu hawatembei na pesa ndo kaja kuwatisha.