Electrician domestic and industrial call me 0769233063

josephlupembe1922

New Member
Feb 17, 2017
1
0
7869769a490e217d20486cd25639752b.jpg
b6aa85b4230337850762ada8a30036de.jpg
 
Sawa Fundi

ni earthrod sio earth load..

unaweza niambia kama earth haina shida na umeme una vuja shida ni nini?
Earth road Kama ipo vzuri tatizo linaweza kuwa wiring
Kama earth wire hajafika kwenye switch socket zote, vitumia umeme vyenye asili ya chuma , Square box za chuma zote Earth wire inatakiwa ifike, pia mafundi wengi huwa tunapuuza kufikisha earth wire kwenye taa zenye asili ya chuma kama tube right

Kwahiyo mfumo mzima wa wiring unatakiwa kupimwa ili kujua na kujiridhisha Kama vitumia umeme vyako vyote vipo connected na eartroad
 
huo mfumo unapimwaje?

kwa macho au kwa vifaa maalum?
 
Back
Top Bottom