wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 113
hata mimi nina utaalamu huo ingawa shule ya vitu hivyo nina mtaalamu uwa ananifundisha yupo indonesia, kupitia mtandao, hata mimi na uwezo wa kutengeneza dc to dc converters, amplifiers, transformer, kusuka speaker na kurekebisha vitu vyovyote vya umeme. Lakini twaweza fanya mambo mazuri kama 2taweza kuwa kama timu na kufanya kitu cha pamoja na kiwe innovative. M nipo iringa kama vp 2taftane kwa namba hii
0755680562 . Maana mimi uwa nawasiliana sana na uyo mchina wa indonesia, labda itakuwa fresh kama 2takuwa wote watanzania
0755680562 . Maana mimi uwa nawasiliana sana na uyo mchina wa indonesia, labda itakuwa fresh kama 2takuwa wote watanzania