Huu uzi ndiyo unanihakikishia kuwa Watanzania tunafeli vibaya sana, kuanzia namna ya kuajiri watu kwenye mashirika makubwa mpaka namna ya kuyaendesha.
Huko ilitakiwa vijana wanachomolewa kwenda kufanya parttime kuanzia wako shule za veta mpaka wanamaliza vyuo, wanajuwa kabisa wao ni wafanya kazi wa wapi, na michujo inatembea wakati wapo kazi za part time, bila mtu kuumizwa wala kujijuwa.
Watanzania tu wajinga sana, hatuna mipango, sera wala taratibu zinazotekelezeka kwa ufanisi, tunajuwa kuzima moto tu.