hahahahaYaani wahandisi wote wanaishia kwenye siasa na habari mchanganyiko.Yaani mpaka saa hizi hakuna engineer alizepita hapa?
Yaani wahandisi wote wanaishia kwenye siasa na habari mchanganyiko.Yaani mpaka saa hizi hakuna engineer alizepita hapa?
Naombeni msaada.
Nina motor ya 20HP ambayo nimeifunga katika kinu cha kusaga lakini motor hii imenisumbua sana.
Kwanza nilikuwa natumia star delta starter lakini consumption ya umeme ikawa kubwa mno.
Nika consult mafundi na baada za kufunga amper meter tukagundua ya kuwa hakuna tofauti kati ya starting na running current,iko juu all the time.
Fundi akaifungua na akadai ya kuwa kuna sehemu inagusa case na akasugua na msasa lakini baada za kuifunga ngoma ikawa hivyo hivyo.
Next day fundi akadai kuwa inawezekana ilikosewa kiwandani na akaifunga star na consumption ya umeme ikad drop mno,inaanza na 33 ampere na bila load inashuka mpaka 7 ampere.
Nilifurahi kuwa problem imekuwa solved lakini cha ajabu ni kuwa inapata moto mpaka unga ukiangukia juu yake inatoa moshi.Kwa uzoefu wangu joto inalopata ingekuwa motor ingine ingeungua lakini si kwa hii.
Tumekagua kuwa labda kuna lose connection lakini hatukuona na pia tu mecheck earthing system na kwa utaalamu wa mafundi wangu wanasema ni nzuri.
Kwa kuwa nafanya biashara mapato per unit consumed ndio kigezo changu kikibwa na muda wote huu kipato kipo chini.
Nisaidieni wataalamu.
Naombeni msaada.
Nina motor ya 20HP ambayo nimeifunga katika kinu cha kusaga lakini motor hii imenisumbua sana. Kwanza nilikuwa natumia star delta starter lakini consumption ya umeme ikawa kubwa mno.
Nika consult mafundi na baada za kufunga amper meter tukagundua ya kuwa hakuna tofauti kati ya starting na running current,iko juu all the time. Fundi akaifungua na akadai ya kuwa kuna sehemu inagusa case na akasugua na msasa lakini baada za kuifunga ngoma ikawa hivyo hivyo.
Next day fundi akadai kuwa inawezekana ilikosewa kiwandani na akaifunga star na consumption ya umeme ikad drop mno,inaanza na 33 ampere na bila load inashuka mpaka 7 ampere.
Nilifurahi kuwa problem imekuwa solved lakini cha ajabu ni kuwa inapata moto mpaka unga ukiangukia juu yake inatoa moshi.Kwa uzoefu wangu joto inalopata ingekuwa motor ingine ingeungua lakini si kwa hii.
Tumekagua kuwa labda kuna lose connection lakini hatukuona na pia tu mecheck earthing system na kwa utaalamu wa mafundi wangu wanasema ni nzuri. Kwa kuwa nafanya biashara mapato per unit consumed ndio kigezo changu kikibwa na muda wote huu kipato kipo chini.
Nisaidieni wataalamu.
Nakushukuru sana ingawa tayari niilsha solve hiyo problem palikuwa na lose connection somwhere.Kama kazi inayofanya ni kuendesha kinu cha kusaga ni lazima iwe delta ili iweze kufanya kazi sawa sawa.
Star inaokoa umeme lakini motor haiwezi kutengeneza enough uotput power, matokeo ndio hayo ukiwa under load lazima utapata over heat
Hapo kwenye delta ambapo tatizo ni over consumption, kuna mambo ya kuangalia ambayo ni
1. Hakikisha unatumia contactors nzuri (best quality) na ziwe 60A
2. Hakikisha phase zako zote ziko na kiwango sawa cha voltage (kama kutakua na phase ina under voltage inabidi ushughulikie hili kwanza. Pima individual phases na neutral sio phase na phase)
3. Hakikisha motor cooling fan inafanya kazi sawa sawa
4. Hakikisha power cable zako zote tokea kwenye circuit breaker ni 16mm
Hayo yakiwa sawa kwa vyovyote tatizo lako litaisha