Electrical engineering UDSM

Electrical engineering UDSM

thomaskitomari

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
472
Reaction score
204
wadau nataka nisome electrical engineering udsm GPA yangu ni 3.8 kutoka arusha technical college itawezekana? au nisijisumbue msaada wakuu.
 
wadau nataka nisome electrical engineering udsm GPA yangu ni 3.8 kutoka arusha technical college itawezekana? au nisijisumbue msaada wakuu.

Nenda kasome ni course nzuri. Kama utaweza angalia website ya chuo uone entry requirements kwa course hiyo. Ila jiandae kwa msuli, sio course laini laini hiyo.
 
wadau nataka nisome electrical engineering udsm GPA yangu ni 3.8 kutoka arusha technical college itawezekana? au nisijisumbue msaada wakuu

Kwa UD tena Coet weka na matokeo yako ya form four tukushauri vizuri kwasababu wanaangalia pia, maana mdau wangu mwaka jana alikuwa na gpa ya 4.2 na form 4 alikuwa na four ya 26 , basi account ikaonyesha kachaguliwa UD alipofika akaambiwa pamejaa na ni mwezi wa kumi, kumbe kikwazo kilikuwa ni ile four ,lakini account inasoma amechaguliwa UD na Heslb walimpa asilimia 92 mkopo , basi nafasi vyuo vingi vya engineering zilikuwa zimekwisha jaa hivyo akaambulia computer science IFM.Kwahiyo unaweza kuchaguliwa mwisho wakakutema , kwahiyo form 4 angalia pia kwa UD brother.
 
Ebana usijisumbue kuomba udsm wanamchezo mchafu kwa wanaotokea diploma kunajamaa yangu alimaliza mechanical engineering na GPA ya 4.5 first class akaomba ud wakamkubalia mwishoni wakamkata na kurudishwa chuo alichotoka imemzingua sana kwenye mkopo first year alifatilia sana kama uamini jaribu ujionee aisee
 
udsm wanataka uwe na kuanzia credit3 na 2d's o'level hiyo ndo sifa wanayoitaka
kama wewe wa ele engineering
unatakiwa uwe na maths=c, physics au engineering science=c na chemistry=c pia uwe na angalau d ya english na "d" kutoka ktk somo lolo isipokua la dini
vip mkuu hivyo vigezo unavyo kama hauna bora uchange gear angan
 
WWW.UDSM.AC.TZ
 
kiukweli udsm wanazingua sana kwa watu wa diploma mim nilitoka dit Mining na gpa ya 3.8 nikawa selected UD 'Engineerimg geology' lakin kwenye list yao waliyotoa jina langu halikuwepo na nilipoenda registr akasema jina langu halipo na hawapokei diploma holders, ila nilipokomaa akaniomba chet cha form form na cha diploma alipoviangalia akanifyatulia join instruction nikasepa zangu
 
udsm wanataka uwe na kuanzia credit3 na 2d's o'level hiyo ndo sifa wanayoitaka
kama wewe wa ele engineering
unatakiwa uwe na maths=c, physics au engineering science=c na chemistry=c pia uwe na angalau d ya english na "d" kutoka ktk somo lolo isipokua la dini
vip mkuu hivyo vigezo unavyo kama hauna bora uchange gear angan
kweli man maana nlizo nazo o level cyo za science bora ncheki DIT au MUST
 
Back
Top Bottom