TONY MTAKAYOTE
kiupande wa ajira Electrical & Electronics ndiyo yenye nafasi kubwa !
Na pia inategemeana na kichwa chako ! Wengine wanasema ni bora ukawa much stronger kwenye mojawapo !
Mana kuna wanaosoma Electrical tu na wana disco and vice versa ila sikuogopeshi !
Kama upo tayari nenda kasome hiyo E & E
Nami nilitaka kusoma Electrical & Electronics pale ATC ila ndo hivyo they have think out of the Box !